Taarifa za njaa: Waandishi wa vituo vya televisheni muonyesheni Rais hali halisi ilivyo | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa za njaa: Waandishi wa vituo vya televisheni muonyesheni Rais hali halisi ilivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salary Slip, Jan 11, 2017.

 1. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 20,106
  Likes Received: 21,357
  Trophy Points: 280
  Sitaseme mengi.

  Baada ya Raisi kudai hakuna njaa,nawashauri tembeleeni maeneo mbalimbali na mchukue picha za hali ya mazao mashambani,mifugo wanaodaiwa kufa na mtembelee kwenye masoko.

  Katika kupita kwenu, muhoji wakulima, wafugaji,wafanyabiashara wa mazao na wanaodaiwa kuathirika na njaa.

  Vikwazo vinaweza kuwa ma-DC na ma-RC ila msisahau kuwa kila kazi ina changamoto zake.

  Tulipofika tunahitaji documentary/documentaries.
  ======

  Hoja hii imetumika ktk JamiiLeo
   
 2. m

  mume wa mtu JF-Expert Member

  #41
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 11, 2015
  Messages: 388
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 60
  wala wasisumbuke kwasababu hata ikiwa kweli wataambiwa serikali haina shamba na wala haiwezi kuwanunulia watu wote chakula,wafanye KAZI.MWAFAAA.
   
 3. Tunutu kiwavi

  Tunutu kiwavi JF-Expert Member

  #42
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 301
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  Ni kweli kuna ukame ila njaa maeneo mengi bado haijaanza. Kumbuka chakula kinachotumika ni kile kilichozalishwa msimu uliopita.
   
 4. McDonaldJr

  McDonaldJr JF-Expert Member

  #43
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 4,128
  Likes Received: 2,621
  Trophy Points: 280
  Ashakuambia waandishi wamenunuliwa na wanasiasa ili waseme uongo unadhani anaelewa somo duh chuma ni chuma tu hata ukiweke kwenye moto hakiwezi kua dhahabu.
   
 5. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #44
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 18,312
  Likes Received: 8,055
  Trophy Points: 280
  Tumelewa madaraka.
   
 6. k

  kamili JF-Expert Member

  #45
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Tv zote Tanzania, yaani zote zinatangaza vitu vinavyoipendezesha serikali hata kwa mambo ya hatari.
   
 7. Benz Petrol

  Benz Petrol JF-Expert Member

  #46
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 22, 2012
  Messages: 491
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Hawawezi tena, wameshapigwa mkwara na kuambiwa wanatumika, lazima waufyate. Lakini ni sawa na kuficha mimba changa kwa kuvaa nguo kubwa, ipo siku tumbo litaonekana tuu - Its a matter of time!
   
 8. bushland

  bushland JF-Expert Member

  #47
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 6, 2015
  Messages: 4,900
  Likes Received: 2,599
  Trophy Points: 280
  Hii nchi ni ya watu wote sio ya mtu mmoja
   
 9. bushland

  bushland JF-Expert Member

  #48
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 6, 2015
  Messages: 4,900
  Likes Received: 2,599
  Trophy Points: 280
  Matokeo ya ukame ni nini?
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #49
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,184
  Likes Received: 9,221
  Trophy Points: 280
  Atawaweka lupango
   
 11. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #50
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 13,666
  Likes Received: 5,540
  Trophy Points: 280
  tuna raisi wa simba..kama nji hakuna rais pale
   
 12. mbandeon

  mbandeon JF-Expert Member

  #51
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 27, 2014
  Messages: 954
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 80
  Amekwisha waambia mtatumika sana yeye hana habari
   
 13. milangomitatu

  milangomitatu JF-Expert Member

  #52
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 212
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Ukame ukitokea nini kinafuatia? ?njaa au shibe itakuja? ?
   
 14. Ki Mun

  Ki Mun JF-Expert Member

  #53
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 6, 2014
  Messages: 2,161
  Likes Received: 1,706
  Trophy Points: 280
  Uzuri mambo yakitaiti hutamsikia akiongea...sukari ilimwumbua hakuwahi tena kujitokeza kufoka eti hakuna upungufu wa sukari nchini!
   
 15. s

  singojr JF-Expert Member

  #54
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 28, 2014
  Messages: 472
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 80
  Watu wakifa njaa ndo utajua nani anafanya siasa
   
 16. Sharif

  Sharif JF-Expert Member

  #55
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 1,931
  Likes Received: 929
  Trophy Points: 280
  pole tanzania, naona ccm wamekuchoka hadi kukukabidhi kwa kapuri..
   
 17. MZEE MSASAMBEGU

  MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member

  #56
  Jan 11, 2017
  Joined: Apr 19, 2013
  Messages: 1,164
  Likes Received: 522
  Trophy Points: 280
  Hahaaah atasema waandishi wa habari wame edit picha...
   
 18. NgugiAchebe

  NgugiAchebe JF-Expert Member

  #57
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 11, 2016
  Messages: 790
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 80
  Na nyie acheni kupiga mayowe serkali ilitangaza mwaka jana uzeni mifugo kwa sababu mwaka huu nvua itakua ni chache, hamkusikia
  Mkaona kua na mifugo mingi ndio sifa sasa mtaisoma namba labda, muipeleke sudan kusini wakawaifazie
   
 19. BAVARIA77

  BAVARIA77 Member

  #58
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 6, 2016
  Messages: 32
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Ww n mtanzania
   
 20. The dream

  The dream JF-Expert Member

  #59
  Jan 11, 2017
  Joined: May 10, 2015
  Messages: 770
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 80
  Mkuu, yeye kazoea kuangalia kile kipindi cha 360 cha Mawingu TV, sidhani hata kama wakichukua zikarushwa chaneli zingine ataweza kuziona.

   
 21. B

  Babati JF-Expert Member

  #60
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 7, 2014
  Messages: 13,139
  Likes Received: 6,679
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa Kwimba nao ni maadui?
   
Loading...