peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
Wewe kweli hamnazo sijuwi na wewe huu uozo uliouleta hapa unakusaidia nini kwa nini na wewe usikae kimya ukamsaidia mkeo kufumua nywele zake za chrismas!acha ushabiki wakijinga au bado hujakuwa lakini ukikuwa utaacha huu ujinga wako fyusii sana wewe!!Hizi taarifa za njaa hata kama ni kweli wewe zinakunufaisha nini. Kama una hio taarifa basi chukua hatua binafsi na sio kuichukulia kisiasa kama unavyofanya. Magufuli yupo mpaka 2025 ije mvua lile jua. Tatuta eneo kalime! Hao wafugaji wakiuza Ng'ombe watano tu wanauwezo wa kuchimba kisima na kuweka solar wanapata maji mwaka mzima kunywesha mifugo