Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,447
- 110,234
DuuhMfyuuuu kasababisha wkt ulimtuma au unajitia upofu![emoji17] [emoji17]
DuuhMfyuuuu kasababisha wkt ulimtuma au unajitia upofu![emoji17] [emoji17]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji35] [emoji35]Duuh
Naamini uko mwanza..nitakutafutaWaungwana hamjambo!
Najitokeza leo kuwatangazia kuwa baada ya mfungo wa kwaresma, mimi Tutor B nitafunga ndoa na Chikira Mtabari, kwa wale walio tayari kushiriki kwenye hafla ya kipekee tafadhali tuwasiliane kwa PM ili tuweze kukamilisha maandalizi.
Naamini hakuna mwenye pingamizi.
Karibuni sana!
Ni mugolegoleNone uli mugolagole au umugabhogabho
Nine kuki ntushila agapicha ku mukobwa mwiza kwi avatar, shila yindi wa mukobwaNi mugolegole
Kwahiyo unaamini ni kweliMungu awatangulie kwa maamuzi hayo na awakumbushe kuishi katika misingi yote ya ndoa
ahoooooooo!Hongereni sana wakuu.
Iyee nami nahuja du iki ninemtize!shighana nayeeee
Nitakuwa kamati ya ufundi tasavaliWaungwana hamjambo!
Najitokeza leo kuwatangazia kuwa baada ya mfungo wa kwaresma, mimi Tutor B nitafunga ndoa na Chikira Mtabari, kwa wale walio tayari kushiriki kwenye hafla ya kipekee tafadhali tuwasiliane kwa PM ili tuweze kukamilisha maandalizi.
Naamini hakuna mwenye pingamizi.
Karibuni sana!
Upande wa piliUfundi gani tena mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata maramoja sijawahi kukufanyia utani naomba hiyo kamati tafadhaliUpande upi huo? Kaka tunataniana siku hizi?
tehe tehe tehe, mwidiwe
Mm ilinichukua muda sana hadi alipo niambiaaDaaahh, huwezi amini siku zote nilikua najua wewe ni Mkaka, kumbe ni Mdada,
hahahah, ulimtafuta?Naamini uko mwanza..nitakutafuta