Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,447
- 110,234
Thubutu mm sio masai aiseevipi ukipewa ya Ulinzi, uangalie magari ya waalikwa na usalama kwa ujumla, hahahahahahahah
Thubutu mm sio masai aiseevipi ukipewa ya Ulinzi, uangalie magari ya waalikwa na usalama kwa ujumla, hahahahahahahah
Halafu wa hivi unakuta wanachukua ukumbi wa bei kubwa na ukumbi maarufu lakini vinywaji 0 kama division ya ndugu Yulee hahahahaahahha haha basi siji
Mapokezi?Thubutu mm sio masai aisee
Hongereni sana jamani that is good decision
Department yangu iwe inahusu chakula na vinywajiMapokezi?
naomba kuwa kwenye kamati ya vinywajiVinjwaji aina zote vipo (TBS)
Ahsante rafiki. Mi ntakuja ili nikirudi nibebe sangara
au abebe ngele, hahahahahSangara wana shombo balaa utamaliza pafyum zote ila utabak na shombo yako. Utabeba sato
HahahaCandyscorpion Iceman 3D huu uzi unatufaa kwa matumizi yetu
Naona uko overwhelmed unashindwa hata kuongeahuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu oooooooooooooooooooooops!
Bora umeniambia najua wapi mieeSangara wana shombo balaa utamaliza pafyum zote ila utabak na shombo yako. Utabeba sato
haya nipigie debeMchaga na vinywaji????
Hatujaanza kuandaa kamati ila nitaongea sweet wangu tuone la kufanya. ...
Kwa sasa sifanyi maamuzi peke yangu kwa sababu tayari nina mwenza!