Duniani sisi wapitaji kila mtu njia yake hiyo tatizo ni pale tunapoachwa wapweke ila Mungu mwenye viumbe vyote aitunze familia na kuifariji wakati wote wa majonzi.
NB: PJ. Kama hutajali tunaweza kujipanga pamoja ili twende tuweke joto kama ilivyo desturi ya wanajamii wapendao siku zote kwenye misiba na raha pia