Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
Wapendwa Katika BWANA.....!
habari zenu binafsi kwa ujumla wenu?...ni matumaini yangu kwamba Wote mnaendelea vyema na mchakato wa kuutafuta mkate wenu wa kila siku.
Kama vile wote mnajua kwamba Dada Yetu Mpendwa JS alipata msiba kwa kuondokewa na Baba Yake MZAZI MNAMO TAR 31/12/2010 Saa tano na dakika arobaini na Tano Usiku.Sisi kama marafiki wa jamiiforums tulikutana na kujadili namna ya kumpa faraja mwanachama mwenzetu kwa namna ndogo ambayo tunaweza.
Napenda kuwajulisha kwamba leo tuna kutana na Dada Yetu JS ''pale pale''.Tunatarajia kuwa nae pale kwa muda mfupi kidogo walau tumpe pole na kumfariji kwa namna nzuri itakayo mpendeza mungu
Muda ni ''Ule Ule''
Wengi wenu mliopo Dar nimewapigia simu kuwajulisha hili swala...sasa kwakuwa mimi ni binadamu mwenye mapungufu kuna uwezekano nikawa nimewasahau watu wawili watatu.Napenda kutumia jukwaa hili pendwa kurusha thread hii ili kwa yoyote ambae sijampigia simu asome na kufika bila kukosa.
Ahsanteni Sana Kwa Kusoma Tangazo hili na kunielewa
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI JF
R.I.P baba yetu mpendwa