Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Una mwambia nani sasa akinukishe?
Wazanzibari imefika wakati lazima wawe na silaha za moto,ikiwa wana uwezo wa Kuwa na kila kitu,silaha ndio solution ya kumaliza mauaji,kila mzanzibari mwenye uwezo hima awe na silaha ya moto,Pemba/unguja,halafu ipigwe mbiu ya mgambo.
 
Watu waenda kama manyumbu tu bila kufikiria. Babu madevu lazima awe responsible kwa kupoteza Uhai wa Watanzania wenzetu. Tanzania ni kubwa kuliko ACT na Chama saccos. Ingieni barabarani muipate ya moto moto.
 
Watu waenda kama manyumbu tu bila kufikiria. Babu madevu lazima awe responsible kwa kupoteza Uhai wa Watanzania wenzetu. Tanzania ni kubwa kuliko ACT na Chama saccos. Ingieni barabarani muipate ya moto moto.
Mambo haya po mbali,Zanzibari itakomboka in muda tu,wache wamuapishe.
 
Ila Maalimu kwa hizi damu zinazomwagaika sidhani kama utafika popote umehamasisha fujo ona vijana wamerusha mawe kushambilia majeshi yetu. Clip zipo za kutosha zinaonesha fujo ilivyoanza, kwa hiyo ni bora wafe askari sio?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Babu madevu lazima awe accountable kwa lolote litakalotokea Pemba. Amekuwa anatoa kauli za Shari tangu kuanza kwa kampeni. Ni kama mtu aliyejikatia tamaa ya kuishi sasa anataka aondoke na watu wasio hatia. Jeshi la polisi lishikilie hapo hapo.
 
Mwinyi atakuwa Rais kwa njia haramu za kishetani lakini atakuwa mgeni wa ICC The Hague kama ilivyokuwa kwa Uhuru kenyata na Ruto
Unajitekenya mwenyewe. Mlaumuni maalim babu madevu kwa kuchochea watu kupiga kura kabla ya siku yao.
 
Back
Top Bottom