Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Uzoefu unaonyesha Polisi wamekuwa wakiwazulumu wafuasi wa Upinzani kwa kutekwa,kupigwa,kubambikiwa kesi,kuswekwa rumande na wakati mwingine watu kupotea kabisa.
Sasa sitarajii askari wanaopokea amri haramu au kujifanya ni wanakindakindaki wakasimamia sheria na haki na hata sikumoja CCM haiwezi kukubali kushindwa kwenye sanduku la kura.
Binafsi naona kushindana na mwenye suraha ni ngumu Ila unaweza dili na mfuasi wake,hapo wanaweza salimu maana hao wafuasi wao tunaishi wote kitaa
 
Zile Sinema zimetengenezwa na CCM ili wapate kuharalisha ushetani wao usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe

CCM ndio walikua wakihamasisha vijana kuandamana barabarani?
CCM ndio walikua wakiwapiga police mawe?
Kati ya hao walioumia kuna watoto au jamaa za maalim seif au watoto zenu nyie mnaoshabikia uvunjifu wa amani?
Hii kitu ya kuhamasisha fujo itawagharimu sana ACT na CHADEMA

Maalim Sefu na genge lake wawatume waende wenyewe na watoto wao huko mabarabarani kufanya fujo na kuwapiga police mawe. Waache kuhamasisha raia kuvunja sheria
 
Mawakala hawapo huru wanaingiliwa na Polisiccm huu ni uchaguzi gelesha tu lakini mwinyi tayari keshalibaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetani
Kumlaumu mwinyi sio kabisa Ila watu wa bara ndio wanaolazimisha wazanzibari waishi watakavyo,huwa najiuliza siku yakijakutokea Kama ya Msumbiji au Nchi za Sahel au Somalia ndio kila mtu atatafuta pa kujisitiri
 
Uzoefu unaonyesha policcm wamekuwa wakiwazulumu wafuasi wa Upinzani kwa kutekwa,kupigwa,kubambikiwa kesi,kuswekwa rumande na wakati mwingine watu kupotea kabisa.
Sasa sitarajii askari wanaopokea amri haramu au kujifanya ni wanakindakindaki wakasimamia sheria na haki na hata sikumoja CCM haiwezi kukubali kushindwa kwenye sanduku la kura.
Binafsi naona kushindana na mwenye suraha ni ngumu Ila unaweza dili na mfuasi wake,hapo wanaweza salimu maana hao wafuasi wao tunaishi wote kitaa
CCM hii ya sasa chini ya Bashiru Raia wa Rwanda na polepole ambaye siyo Mtanzania ndiyo imeleta huu ushetani wote
 
Kumlaumu mwinyi sio kabisa Ila watu wa bara ndio wanaolazimisha wazanzibari waishi watakavyo,huwa najiuliza siku yakijakutokea Kama ya Msumbiji au Nchi za Sahel au Somalia ndio kila mtu atatafuta pa kujisitiri
Sasa Zanzibar watasoma Albadiri zisizo na kikomo mwinyi atabidi kuwa Rais mwenye Ulinzi mkubwa kupita wa museveni wa Uganda
 
CCM hii ya sasa chini ya Bashiru Raia wa Rwanda na polepole ambaye siyo Mtanzania ndiyo imeleta huu ushetani wote
Ngoja tusubirie maono yangu nione hatima ya hayo mambo,seems Hadi Magu anawaweka hao watu alishajua watu wenye unasaba na jamii anakotokea
 
Nani aliyeanzisha fujo Kati ya raia na polisi?
Km hawapo huru mmewaweka kwanini wamewekwa?
Hakuna namna inabidi wawepo tu ili Duniani kote wajue Tanzania ni Nchi isiyo na demokrasia chini ya udikiteta wa CCM
 
Msi singizie CCM, mmehasisha watu wavamie gali lililobeba vifaa vya NEC mnawaambia ilo gari lina karatasi za kura zilizo pigwa tayari.ivi ulitegemea polisi wafanyeje wakati kikundi Cha watu kinavamia gari la NEC lenye vifaa vya kupigia kura? Acheni uchochezi mtaumiza wafuasi wenu kwa upuuzi.
 
Labda uwaulize wale wanaowatuma vijana wasio na hatia kujipeleka mstari wa mbele na kupoteza maisha huko wao wakibaki majumbani kwao wanakunywa kahawa.
Musishupalie musiyo yajua,hao watu wamepihwa wakiwa katika shuhuli zao za kawaida,wamevamiwa na kurushiwa risasi mabomu waliona hayato watoa roho,wewe unaye sema haya Allah akufungue macho uone dhulma inayo fanywa na madhalim wa CCM, la Kama unajitia upofu wa kusudi,nasi akuoneshe hapa hapa duniani,maafiri wakubwa.
 
Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi zote zinatumika kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingi na sasa pesa nyingi inatumika kubaka sanduku la kura Zanzibar ni vigumu Nchi kupata maendeleo chini ya CCM ya sasa ilyojaa ushamba mkubwa na mambo ya hovyo mno.
 
Msi singizie CCM, mmehasisha watu wavamie gali lililobeba vifaa vya NEC mnawaambia ilo gari lina karatasi za kura zilizo pigwa tayari.ivi ulitegemea polisi wafanyeje wakati kikundi Cha watu kinavamia gari la NEC lenye vifaa vya kupigia kura? Acheni uchochezi mtaumiza wafuasi wenu kwa upuuzi.
Hakuna cha wananchi kuvamia chochote hizo ni propaganda za CCM kuharalisha ushetani mauaji yenu, huo ujinga wako bakia nao huko gheto unaposhinda ukivuta Bangi
 
Kwa video zile za vifaru barabarani, hii taarifa haina chembe ya uwongo hata kidogo.
 
CCM sasa wametengeneza kisingizio cha kipumbavu kuwa wananchi walivamia Gari la NECCCM Tumeccm, wao wanajua kuwa ni haki kuua yeyote anayetaka kujua kilichopo ndani ya masanduku ya kura, CCM wamesahau kuwa hakuna mwananchi ana imani na CCM hawataki kutoa mwanya kwa wakosa imani nao kujiridhisha
 
Kosa kubwa kwa CCM ni kujiona wao wana haki kwa kila kitu wana haki za kuwaonea watu kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwasingizia chochote wanachojisikia pasipo kutaka wateswaji wakate udikiteta wao
 
Back
Top Bottom