Karibu mkuu, tena karibu sana. Bora umekuja maana nina maumbea ya kukupa kama yafuatayo.
1. Loya
Ruttashobolwa ameamua kabisa kutuachia mkewe wa ndoa
Madame B na kukamatia kimwana mwengine
2. Mzungu Mndali aka Marry Mlokole anajitahidi kujisogeza mdo mdo hapa jukwaani tena, na amepata hata washkaji hasa huyu
Donn anajidai ndie swahiba wake na
noahism simwelewielewi.
3.
Chimbuvu ametoweka kimya kimya na kuniachia muke yake, naomba mwongozo.
Mengine ntakwambia baadae ama
Arushaone anaweza kumwagia hapa.................