...pamoja na vitisho hivi ambavyo vinaweza kupelekea mtu kuteswa, kuwa sodomized na hata kuuwawa kijasusi, sitaacha kukipigania chama changu cha CCM ....
Nahitaji sana sala zenu,
Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Amuulize Masumbuko Lamwai.... Wakaanza na kumzuia kutoa mihadhara chuo, Wakafuata kumtimua nyumba ya chuo, wakasitisha leseni ya uwakili, akakimbilia Zanzibar, na huko nako wakahakikisha hali inakuwa mbaya.... BAADA YA KUMBANA KILA KONA, WAKAMTUMIA MTU...''mzee achana na hayo mambo rudi kundini''... Baada ya muda... ETI NI MWANASHERIA WA CCM... TZ yetu hii... wanataka kila mtu awe kama JOKA LA KIBISA.... HALING'ATI, NA LIKING'ATA HALINA SUMU....ukiwa mwana CCM uwe mtu wa Yes-Yes- Sir!! maisha yako yatakuwa mazuri mno.... vinginevyo unaweza kujikuta una vidole 19, kucha 17 tu na meno 24.
Jamii yetu inadanganyika kirähisi sana.
Critical thinking haipo kabisa!!!
Ndio maana misururu ya wagonjwa ilijaa Loliondo...
Serikali ya Chama chako si ndio iliongoza msafara chini ya kamanda wa Nyuki na Asali
Ujinga wako umefika kiwango cha kuwa mpumba.vu, yaani uko tayari kuwa kungolewa meno, kutolewa jicho, kunyofolewa kucha, kuwa-sodomized au kuuawa na wanachama wenzako wa CCM kwa ajili ya Chama 'chako' CCM? Mwalimu kilikuwa chake lakini alitaka kukitema, "na wewe ni chako!" Hao wanaotaka kuku-sodomize au kukuua watasemaje-hao si ndiyo chao?
Wewe hatuna haja ya kupoteza muda kukuombea, maana "utaangamia kwa kukoseshwa maarifa" na CCM! Muasisi wake walimuua wakashika dola, sembuse wewe uliedandia treni karibu na mwisho wa reli utusumbue! TOKA HUKO kwa wauaji hamia kwingine tuikomboe nchi!
Hivi unamjua huyu jamaa kweli?
Critical thinking kwenye uhai wa mtu, you can't be serious!!Jamii yetu inadanganyika kirähisi sana.
Critical thinking haipo kabisa!!!
Ndio maana misururu ya wagonjwa ilijaa Loliondo...
Ukisoma wachangiaji wa post hii utaona LIVE jinsi jamii yetu inavyoweza kuwa manipulated so easily!!!
Ukisoma wachangiaji wa post hii utaona LIVE jinsi jamii yetu inavyoweza kuwa manipulated so easily!!!