kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,800
- 694
Kwa taarifa hii unathibitisha watekaji na watesaji ni watu wa chama gani?
taarifa tu haithibitishi chochote!
Kwa taarifa hii unathibitisha watekaji na watesaji ni watu wa chama gani?
Ukweli gani huo kwao unafikiri mpaka chama kiamue kuwapa vitisho.Hapo penye nyekundu,wanawaambia viongozi wetu ukweli unaouma.
tenende kama hii pia ni ID ya propaganda ya CDM basi chama kimekosa waongozaji, kitengo cha wapambanaji wa mtandaoni kilikuwa na afadhali alipokuwepo Ludo siku hizi vijana mnajiandikia tu ilimradi muoneshe idadi ya posts kwa mabwana zenu.Wewe siyo mnyakyusa!
Hii thread ni muhimu sana, ila kama kawaida yetu kuna watu wameamua kuivuruga kwa sababu wanazojua wenyewe; huenda wanatumika, au wanajitumia vibaya
if it was my wish, ningesema ipelekwe kule jukwaa la great thinkers ili kupunguza impurities... this thread deserves great mind to discuss, maana mleta mada sio Timing wala wale vipandikizi, he is a real deal na has been mkweli since day one bila ushabiki wa kipuuzi-puuzi
Mkuu, simple logic tu inaeleza kuwa mkataa wengi ni mchawi.Haiyumkiniki asilimia kubwa ya wanaochangia mada waone logic ya kilichoandikwa na Ndugu Mchambuzi lakini mwenzetu-gwiji la critical thinking- uone tofauti.
Tell you what, we are dealing with a double-headed monster. It will continue to attack the victims thrown to it by you,but, trust me, when deprived of victims, it's going to strike at you same guys who have been taking care of it. Mchawi akiishiwa na wa kumroga huigeukia familia yake mwenyewe.
Endeleeni kufurahia uharamia huu lakini mkae mkitambua kuwa kuna siku nanyi mtakuwa wahanga wa hayahaya mnayoyakenulia meno.
TIME WILL TELL
Pole sana Mkuu wangu Mchambuzi:
Binafsi, maisha ni marefu sana lakini ni mabaya sana...hivyo wakati fulani kifo huwa suluhisho bora. Hata hivyo, kila mwanadamu ana nafasi na wajibu wake kwa jamii yake, kama umeshaicheza vizuri nafasi yako, basi atafutae uhai wako anajisumbua.
HAKUNA HAJA YA KUOGOPA KIFO, KAMA TU TUMESHACHEZA VIZURI NAFASI NA WAJIBU WETU TULIONAO KWA WATU WETU. Hapo sasa inatulazimu kujihami kwa kutopoteza muda hata kidogo katika kucheza nafasi zetu, kwani ni ukweli kuwa WANAHARAMU NI WENGI, wasije wakasitisha uhai wetu kabla nafasi yetu hatujaicheza, kwa uvivu wetu wa kufikiria tu kwamba kesho ipo, TUTAPOTEZA na kufa kama mbwa.
HUU NI WAKATI WA KUZIFANYA FIKRA ZETU HAI, MAANA KIFO KI KARIBU MNO. Tukifanya fikra zetu hai, milele hazitakufa nasi milele tutakumbukwa. Na huko ndio kuishi tena hata baada ya kifo chetu.
Pole sana Mkuu.
Mungu wetu yu tayari kutupigania. Anaita sasa.
Ni Ramadhani Igondhu
Uliyoandka ni mazur ya kujifunza kwa vyama vyote. Hili la kutishiwa wahi polisi toa taarifa ili kujihami na wang'oa kucha.