MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
"Ndugu zangu,ningependa kuwahakikishia kwamba pamoja na vitisho hivi ambavyo vinaweza kupelekea mtu kuteswa, kuwa sodomized na hata kuuwawa kijasusi, sitaacha kukipigania chama changu cha CCM kwani nafanya hivyo kwa msukumo wa ninacho kiamini,lakini hasa mapenzi yangu kwa nchi yangu ya Tanzania"
Ni dhahiri sasa kwamba you can no longer fight the system from within as it amounts to commiting suicide!
Now you have two options though:
1. To continue your crusade for a better Tanzania from without! which entails you to decamp officially in public from CCM and join the other like minded forces to advance the cusade for a second liberation. OR
2. Conventional wisdmom goes like this; if you can not fight them; join them, kwa hiyo kaka ufyate mkia ujiunge na walaji wanaofanya mambo usiyoyaamini lakini kwa woga wako umeamua kuwabariki kwa kujiunga nao.
kazi kwako kusuka au kunyoa!
Remember to Stay alive; The dead dont count and Life is for the living! matrys only have a place in the anals of history if they were lucky to leave behind them a greatful nation when they passed on to God knows!! where!