MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Habari yao kwa kidokezo hii hapa,Mkuu, unakumbuka wale mapacha wa Arusha waliosema wametoka sayari ya Mars halafu watu wakawaamini bila kuwauliza maswali ya msingi. Ndio kama huyu member wa JF.
Kuna wengine huwa wanajifanya walikuwa wanasafiri na ungo na wamedodoka.THE Tanzanian twins who have made record for being the first 'astronauts' from Africa to fly to outer space and orbiting round Mars , the red planet , have just jetted back into the country. Sylvanus and Salvanus , who prefer to use the surname of 'Kawasange' their current guardian, are however , keeping mum about everything;
" We shall grant you an interview after we have met the president, " they stated over the weekend in Ngorongoro District. Salvanus and Sylvanus will be special guests at the State House in Dar es Salaam this week when they meet President Jakaya Kikwete. The twins, born with extraordinary skills , said they will not be giving any official statement or interview and refused to take any photos
prior to their meeting with the Head of State.
Ndugu wana JF, hasa wadau wenzangu jukwaa la siasa,nimeona kuna umuhimu wa kuwapa tu taarifa kwamba nimepotea kidogo humu ili kujipanga kutokana na vitisho navyokumbana navyo kutokana na michango yangu mbalimbali humu,hasa kuhusiana na misimamo yangu dhidi ya madhaifu ya chama changu cha CCM kuelekea 2015;kwa wengi,naamini watakubaliana nami kwamba lengo langu limekuwa ni kujenga,sasa hawa wachache kwa mtazamo wao ni kwamba nabomoa chama (CCM) kuelekea 2015; vitisho hivi havijaanza leo lakini hivi karibuni,kasi imekuwa kubwa zaidi; mbali ya kupokea vitisho,pia nimedokezwa na vyanzo vyangu vya kuaminika sana kuhusu mpango uliopo wa kunidhuru,hivyo niwe makini hasa in the public arena na nimetajiwa wahusika kwa "majina" na "kitaasisi"!
Ndugu zangu,ningependa kuwahakikishia kwamba pamoja na vitisho hivi ambavyo vinaweza kupelekea mtu kuteswa, kuwa sodomized na hata kuuwawa kijasusi, sitaacha kukipigania chama changu cha CCM kwani nafanya hivyo kwa msukumo wa ninacho kiamini,lakini hasa mapenzi yangu kwa nchi yangu ya Tanzania,na nina amini kwa dhati kabisa matatizo ya sasa ya ccm ni matokeo ya waharibifu wachache ambao watapita tu na kwenda zao na kutuachia chama ambacho ili kirudi katika uimara wake,kitahitaji ujenzi mpya (ndani au nje ya ikulu) wa kuzungumza tena na the common man na kuelewana nae, na hivyo ndivyo tutaweza kuleta ushindani wa kweli dhidi ya chama makini cha chadema au chama chochote kingine; Lakini ni muhimu kwa wana ccm wenzangu tukubali ukweli kwamba sasa ni chama cha watu,sio chama cha viongozi;pia tuwe consistent,tusiwe watetezi wa ccm kutokana na awamu au nani yupo ikulu basi tuwe watetezi wa ccm kutokana na mapenzi yetu ya kwa taifa ambapo chama ni njia pekee ya kuboresha taiga hilo kupitia uongozi;
Vinginevyo CCM kamwe haiwezi kufa lakini pia ni dhahiri kwamba Chadema nayo haiwezi kufa,kwahiyo wana ccm wenzangu,hasa vijana wa sasa na wa baadae, tusipoteze muda kwa kujidanganya juu ya hilo; nadhani ni muhimu sasa tufikie level of maturity in liberal democracy na kukubali kwamba chadema is here to stay,and just like sisi ccm,chadema (na wapinzani wengine) wana haki ya kutafuta ridhaa ya wananchi kushika dola ili kuwaongoza kuelekea Tanzania yenye neema; CCM tukifanikiwa kutambua ukweli huu, basi uelewa huu utakuwa ni mwanzo mkubwa sana wa mageuzi makubwa sana ndani ya chama chetu kwani kwanza tunahitaji mageuzi ya fikra;tukiweza hilo, tutaanza kuwa washindani wa hoja badala ya viroja na jazba na hivyo kufanikiwa kurudisha imani ya umma kwa chama chetu ambayo inazidi kuzorota kuelekea 2015; Vijana wenzangu,tuhamie kwenye siasa za hoja mbele ya wananchi zenye outcome ya kupokezana vijiti kwa amani na utulivu kwani hiyo ndio maana ya kukubali demokrasia ya uliberali 1992;kwenye demokrasia nyingi zenye mafanikio, vyama hupokezana uongozi wa nchi kwa amani na utulivu,na anayeshindwa huchukulia hilo kama changamoto ya kujipanga upya;Chadema kutushinda CCM uchaguzi ngazi ya udiwani,ubunge na hata urais doesn't mean it is the end na badala yake it should mark a new beginning and an era inayotawaliwa na mapinduzi ya kifikra; Kujiita chama cha mapinduzi sasa iwe na maana ya mapinduzi ya fikra;katika hili,naamini kabisa ndani ya ccm huko Lumumba na kwingineko kwenye nafasi za maamuzi, wapo vijana wenye uwezo to set a precedent kwa wadogo zetu waliopo huko mashuleni,vyuoni n.k,hasa wale ambao bado wana imani na CCM;ni suala la uamuzi tu kwa vijana wana ccm katika nafasi husika,na pia, mshikamano miongoni mwao hasa dhidi ya divisive forces, na vile vile kuweka maslahi ya taifa mbele kabla ya maslahi ya chama; the precedent ni muhimu kwa vijana watakaotufuatia baadae kuja kuimarisha na kugeuza utamaduni wa ovyo na ubabaishaji mkubwa ndani ya CCM ya leo;
Vijana wenzangu,muwe ni wana ccm au wana,chadema...naamini kabisa kwamba wengi wetu lengo ni moja - kuboresha maisha ya watanzania,na iwapo inatokea tunapishana,basi ni juu ya jinsi gani au njia bora zaidi ya kufikia lengo husika; Kama zitto alivyopata nena kwenye kipindi kimoja cha star tv mwishoni mwa mwaka jana,vijana tuna haja ya kuacha kuiga siasa za wazee zilizojaa majungu,fitina na visasi,badala yake tuungane kujenga taifa letu kwa ari mpya,na iwapo tunatofautiana basi iwe kwa hoja juu ya jinsi gani kila chama kinaamini njia ipi ni bota katika kufikia Tanzania yenye neema kwa maslahi ya walio wengi,huku tukiachia wananchi kufanya maamuzi baada ya kuchekecha hoja;
Nahitaji sana sala zenu,
Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Na habari iwe tamu, inabidi useme ni CCM na Taasisi zake za ulinzi nchini.Umaarufu unatafutwa kwa jitihada nyingi kaka. Sasa hivi talk of the town ni wanasiasa kutekwa kwahiyo ukisema unataka kutekwa lazima upate umaarufu.
Kwa taarifa hii unathibitisha watekaji na watesaji ni watu wa chama gani?
Na habari iwe tamu, inabidi useme ni CCM na Taasisi zake za ulinzi nchini.
Mkuu Mchambuzi, pole sana kwa yote!. Nakuhakikishia, ukikubali kuukubali ukweli wa kwenda "where you belong!", 2015 ni "ndani ya nyumba!".Tunakuweka kwenye sala zetu!.Pasco.Ndugu wana JF, hasa wadau wenzangu jukwaa la siasa,nimeona kuna umuhimu wa kuwapa tu taarifa kwamba nimepotea kidogo humu ili kujipanga kutokana na vitisho navyokumbana navyo kutokana na michango yangu mbalimbali humu,hasa kuhusiana na misimamo yangu dhidi ya madhaifu ya chama changu cha CCM kuelekea 2015.Nahitaji sana sala zenu,Mungu ibariki Tanzania.Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Tatizo wanasiasa wengine wako TOO desperate na wanajua watu wetu huwa hawajiulizi maswali kabla ya kuamini jambo, na ndio maana wanasiasa hao wanatumia mwanya huo kuwalaghai.
Inavyoonekana hizi propaganda kwa sasa zimeanza kushika kasi na kufanya kazi.
Kuna mwingine naye alipotea lakini juzi akaibuka na matamko.
kuna mwingine anaishi Uskochi, naye alidai amepata vitisho
Mchambuzi na yeye amekuja na malalamiko.
kwa mtazamo wa haraka. Hawa watu wanafanya nini kikubwa ambacho wanaweza kuiogopesha CCM mpaka iwatumie ujumbe wa vitisho?.
Kuna watu wako nyuma ya hizi propaganda chafu. TIME WILL TELL.
Ndugu wana JF, hasa wadau wenzangu jukwaa la siasa,nimeona kuna umuhimu wa kuwapa tu taarifa kwamba nimepotea kidogo humu ili kujipanga kutokana na vitisho navyokumbana navyo kutokana na michango yangu mbalimbali humu,hasa kuhusiana na misimamo yangu dhidi ya madhaifu ya chama changu cha CCM kuelekea 2015;kwa wengi,naamini watakubaliana nami kwamba lengo langu limekuwa ni kujenga,sasa hawa wachache kwa mtazamo wao ni kwamba nabomoa chama (CCM) kuelekea 2015; vitisho hivi havijaanza leo lakini hivi karibuni,kasi imekuwa kubwa zaidi; mbali ya kupokea vitisho,pia nimedokezwa na vyanzo vyangu vya kuaminika sana kuhusu mpango uliopo wa kunidhuru,hivyo niwe makini hasa in the public arena na nimetajiwa wahusika kwa "majina" na "kitaasisi"!
Ndugu zangu,ningependa kuwahakikishia kwamba pamoja na vitisho hivi ambavyo vinaweza kupelekea mtu kuteswa, kuwa sodomized na hata kuuwawa kijasusi, sitaacha kukipigania chama changu cha CCM kwani nafanya hivyo kwa msukumo wa ninacho kiamini,lakini hasa mapenzi yangu kwa nchi yangu ya Tanzania,na nina amini kwa dhati kabisa matatizo ya sasa ya ccm ni matokeo ya waharibifu wachache ambao watapita tu na kwenda zao na kutuachia chama ambacho ili kirudi katika uimara wake,kitahitaji ujenzi mpya (ndani au nje ya ikulu) wa kuzungumza tena na the common man na kuelewana nae, na hivyo ndivyo tutaweza kuleta ushindani wa kweli dhidi ya chama makini cha chadema au chama chochote kingine; Lakini ni muhimu kwa wana ccm wenzangu tukubali ukweli kwamba sasa ni chama cha watu,sio chama cha viongozi;pia tuwe consistent,tusiwe watetezi wa ccm kutokana na awamu au nani yupo ikulu basi tuwe watetezi wa ccm kutokana na mapenzi yetu ya kwa taifa ambapo chama ni njia pekee ya kuboresha taiga hilo kupitia uongozi;
Vinginevyo CCM kamwe haiwezi kufa lakini pia ni dhahiri kwamba Chadema nayo haiwezi kufa,kwahiyo wana ccm wenzangu,hasa vijana wa sasa na wa baadae, tusipoteze muda kwa kujidanganya juu ya hilo; nadhani ni muhimu sasa tufikie level of maturity in liberal democracy na kukubali kwamba chadema is here to stay,and just like sisi ccm,chadema (na wapinzani wengine) wana haki ya kutafuta ridhaa ya wananchi kushika dola ili kuwaongoza kuelekea Tanzania yenye neema; CCM tukifanikiwa kutambua ukweli huu, basi uelewa huu utakuwa ni mwanzo mkubwa sana wa mageuzi makubwa sana ndani ya chama chetu kwani kwanza tunahitaji mageuzi ya fikra;tukiweza hilo, tutaanza kuwa washindani wa hoja badala ya viroja na jazba na hivyo kufanikiwa kurudisha imani ya umma kwa chama chetu ambayo inazidi kuzorota kuelekea 2015; Vijana wenzangu,tuhamie kwenye siasa za hoja mbele ya wananchi zenye outcome ya kupokezana vijiti kwa amani na utulivu kwani hiyo ndio maana ya kukubali demokrasia ya uliberali 1992;kwenye demokrasia nyingi zenye mafanikio, vyama hupokezana uongozi wa nchi kwa amani na utulivu,na anayeshindwa huchukulia hilo kama changamoto ya kujipanga upya;Chadema kutushinda CCM uchaguzi ngazi ya udiwani,ubunge na hata urais doesn't mean it is the end na badala yake it should mark a new beginning and an era inayotawaliwa na mapinduzi ya kifikra; Kujiita chama cha mapinduzi sasa iwe na maana ya mapinduzi ya fikra;katika hili,naamini kabisa ndani ya ccm huko Lumumba na kwingineko kwenye nafasi za maamuzi, wapo vijana wenye uwezo to set a precedent kwa wadogo zetu waliopo huko mashuleni,vyuoni n.k,hasa wale ambao bado wana imani na CCM;ni suala la uamuzi tu kwa vijana wana ccm katika nafasi husika,na pia, mshikamano miongoni mwao hasa dhidi ya divisive forces, na vile vile kuweka maslahi ya taifa mbele kabla ya maslahi ya chama; the precedent ni muhimu kwa vijana watakaotufuatia baadae kuja kuimarisha na kugeuza utamaduni wa ovyo na ubabaishaji mkubwa ndani ya CCM ya leo;
Vijana wenzangu,muwe ni wana ccm au wana,chadema...naamini kabisa kwamba wengi wetu lengo ni moja - kuboresha maisha ya watanzania,na iwapo inatokea tunapishana,basi ni juu ya jinsi gani au njia bora zaidi ya kufikia lengo husika; Kama zitto alivyopata nena kwenye kipindi kimoja cha star tv mwishoni mwa mwaka jana,vijana tuna haja ya kuacha kuiga siasa za wazee zilizojaa majungu,fitina na visasi,badala yake tuungane kujenga taifa letu kwa ari mpya,na iwapo tunatofautiana basi iwe kwa hoja juu ya jinsi gani kila chama kinaamini njia ipi ni bota katika kufikia Tanzania yenye neema kwa maslahi ya walio wengi,huku tukiachia wananchi kufanya maamuzi baada ya kuchekecha hoja;
Nahitaji sana sala zenu,
Mungu ibariki Tanzania.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Pole sana mkuu wangu na mpiganaji MchambuziNawashukuru nyote kwa kunipa moyo pamoja na ushauri juu ya jinsi gani naweza kukabiliana na hili,kwa njia za kujihami lakini pia kwa njia ya sala;lakini muhimu zaidi - nafarijika sana kwamba maoni na ushauri wenu unatoka kwa watanzania wote bila ya kujali kwamba mitazamo na itikadi zetu za kisiasa zinatofautiana,kwa mfano ben saanane na wengineo,that's the revolution that we need,siasa za masimango,chuki na visasi tuwaachie wazee;sisi kama vijana tunaweza tofautiana kiitikadi na mtazani lakini tukiwea mbele maslahi ya taifa,tofauti hizi hazitabomoa bali zitajenga taifa letu kama ilivyo katika demokrasia zenye mafanikio kama marekani,uingereza,japan,s.korea n.k;
;Lakini kwa wale pia ambao wananikejeli katika hili,nachukulia kejeli hizo positively kwani zinachangiwa zaidi na kuchoka kwenu na matatiizo sugu ya kila nyanja yanayolikabili taifa letu huku waathirika wakubwa ikiwa na walipa kodi na wakulima wanaotulisha na pia kutufanya tutembee vifua mbele kwamba siku moja na sisi tutakuwa taifa linalo jitegemea na la kipato cha kati;
Mwisho,niwahakikishie tu wale wote wenye kuniunga mkono katika hili kwamba sitaacha nachofanya kwani situmikii mtu bali moyo wangu;vinginevyo kama ningekuwa mwoga na dhaifu,ningeacha siku nyingi baada ya mzee wangu balozi mwambulukutu kuvamiwa afrika kusini mwaka 2007 kwa nia ya kuuwawa kwa sababu za kisiasa huku taarifa za nyumbani Tanzania zikisambazwa kwamba ilikuwa ni tukio la ujambazi huku uchunguzi juu ya tukio husika afrika ya kusini ukishinikizwa usimamishwezi;anyways,hayo yalishapita,kikubwa ni uzima ingawa wahusika wamefaniwa kumpofua macho;
Again,shukrani na pamoja sana;
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kama mtu anania ya kukudhuru hawezi kuja kukutishia, huo unaitwa mkwara. jamaa kama anania mbaya na wewe anafanya kweli.