Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Gharama za kujitakia hizi. Kuendesha ikulu mbili ni hasara kubwa. Sasa mume akimuhitaji anarudi tena dasalamu?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma

Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali

View attachment 1885097
 
... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Baada ya kusikia wananchi wanasema kahamia Dar sasa anasafisha kwa kurudi Dom
 
Utawala wa kanda utaleta tija kwa Taifa, Dodoma ibaki kuwa makao makuu ya kanda ya Kati. Mamlaka kamili ya vibali na leseni zote za kanda ya kati zishughulikiwe hapo.
 
Back
Top Bottom