Taarifa: Rais Samia Arejea Jijini Dodoma leo Agosti 08, 2021

Kwani mtu mnampima kwa miezi kadhaa? Hamumtendei haki tusubiri 06/2025 tupime aliyoyafanya
Kiongozi mbovu huonekana mapema tu.
Mbona kwenye tozo hujasema tusubiri mpaka 2025?
Ukweli ni kuwa huyu bibi ni mweupe sana
 
Kiongozi mbovu huonekana mapema tu.
Mbona kwenye tozo hujasema tusubiri mpaka 2025?
Ukweli ni kuwa huyu bibi ni mweupe sana
Tozo lengo ni zuri kiwango ni kikubwa, angekua anachukua tozo kununua ndege apo tungelalamika, wamesema wanalishughulikua

Mtu kuwa mweupe au la analifahamu Mungu, sisi tutampima kwa atakayoyafanya na atabadilishaje maisha ya watanzania ....
 
Tozo lengo ni zuri kiwango ni kikubwa, angekua anachukua tozo kununua ndege apo tungelalamika, wamesema wanalishughulikua

Mtu kuwa mweupe au la analifahamu Mungu, sisi tutampima kwa atakayoyafanya na atabadilishaje maisha ya watanzania ....
Mbona maisha ya watanzania kishayabadilisha. Kila kitu kimepanda bei sasa hivi
Hadi vibiriti vimepanda Bei
Bibi ana gundu huyu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma

Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali

View attachment 1885097
Akitekeleza majukumu ambayo angeweza kuyafanyia dodoma mji mkuu wa taifa. Naweza kusema kwa uhakika ameenda dodoma kama kusalimia kwani punde utaona akitua na pipa la atcl jijini tena.
 
... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

Soma hii Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri; ya jana tu (Dar) halafu leo huyooo karudi kule kule (Dom) na mawaziri wako barabarani mbio wanakimbilia kulekule walikotoka jana/juzi. Ninampenda sana huyu Mama ila dah; kwa mwendo huu anaanza kutuchosha sasa!
Yaani hadi 2025 ndio tutajua kwa nini sio rahisi kua na rais mwanamke. Yaani ni masafari yasiyokua na maana na ubadhirifu mtupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom