Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

Innovator

Content Manager
Jun 8, 2011
399
249
Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.

thanks Innovator kwa kuliona hilo..............
Kwakweli imekuwa ni kero ya muda mrefu sasa....
Topics nyingine hazina miguu wala macho na wala haziletwi kwenye jukwaa husika,
wazikuta ziko hapa.........

NADHANI NI UAMUZI WA MSINGI KABISA MLIOAMUA KUUCHUKUA......

keep it up....................

kweli super kama leo pdidy katoa post zaidi ya 13 hadi inaboa maana watu wanashindwa kuchangia

Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo
tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.

well said,...sasa anza na hii ya Konakali "Naomba tujadili nini kifanyike",....ipeleke jukwaa husika plz

kweli super kama leo pdidy katoa post zaidi ya 13 hadi inaboa maana watu wanashindwa kuchangia
Kweli kabisa bebii kila ukifungua pdidy mpaka unachoka na zote zinaongelea mada ile ile mahusiano na mapenzi.

Umechelewa sana
Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.

nafikiri ni jambo la busara kuchekecha kwanza post
kuna post zinakuja humu za kitoto au tuseme za kipuuzi sana
mtu anakuja na posty inasema huyu dada anahitaji msaada kaliwa sana tigo sasa amepata mchumba afanyeje??
hivi jamani kama kuna nchi wanajua kiswahili halafu wakaingia jf na kuchungulia na kukutana na post kama hiyo atatuhesabu vipi sisi wabongo??
acheni upuuzi

hujaelewa suala siyo uwingi wa thread, hapa ishu ni je zina maji ndani yake kiasi cha kuziruhusu zikae mmu?
hata kama zina nini huwezi post post nyingi hivo kwa siku watu watachangia vp banaa ?maana post zikiwa nyingi watu wanashindwa kuchangia mwishowe jf litakuwa jukwaa la kupost tu sasa

88 Reactions
Reply
Back
Top Bottom