Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

Innovator, hebu angalia na hili......................

Issue sio kwenye posts tu, bali kuna wengine katika kuchangia hoja mbalimbali hapa......
wanageuza tena na kuwa chat room hapa.................

Sasa badala ya kubadilishana mawazo na uzoefu mbalimbali wa mada inayotolewa............
uwanja unakuwa wa kuchat mpaka inaboa....................
 
Mmh! Kweli aisee.
 
<b>navojua hili ni jukwaa huru we have equal rights here? Kila mtu hapa ana uwezo wa kuelewa hamna mbumbumbu hapa</b>
unajuaje kama kila mtu ana uwezo wa kuelewa?
Kama uwezo unao mbona umeshindwa kuelewa threads za pdidy mpaka unazilalamikia?
Au uwezo mushkeli!
 
navojua hili ni jukwaa huru we have equal rights here? Kila mtu hapa ana uwezo wa kuelewa hamna mbumbumbu hapa

bebii elewa kuna mbumbu wengi sana hapa,sijui kwa wewe unapimaje,,lakini kuna member mmoja alituambia unaweza kumsoma mtu between lines,
 
unajuaje kama kila mtu ana uwezo wa kuelewa?
Kama uwezo unao mbona umeshindwa kuelewa threads za pdidy mpaka unazilalamikia?
Au uwezo mushkeli!
sijasema ni mbaya wingi wake kwa siku zaidi ya 13 jamani? Mnaona ni sawa? Kwani kuna ulazima gani hadi azilete kwa siku moja jamaniiii?
 
Innovator, hebu angalia na hili......................

Issue sio kwenye posts tu, bali kuna wengine katika kuchangia hoja mbalimbali hapa......
wanageuza tena na kuwa chat room hapa.................

Sasa badala ya kubadilishana mawazo na uzoefu mbalimbali wa mada inayotolewa............
uwanja unakuwa wa kuchat mpaka inaboa....................
Tunashukuru sana mkuu tunafanyia kazi maoni yote
 
Mnataka ku-moderate topic zisizo na maana? Mi nilidhani topic isyo na maana inajifia yenyewwe baada ya muda mfupi tu! Kwa nini mpoteze muda kui-moderate?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Tatizo mnachelewa sana kumoderate na ku publish hizo threads. Kama jukwaa la siasa unatuma thread inachukua almost an hour kabla ya kuwa published. Hata kama habari ilikuwa ya moto, moto unakuwa umeshazima wakati mnaipublish. Hii move ya kumoderate threads kabla ya kuwa published inaweza ika backfire. Watu watakata tamaa ya kuanzisha threads.

Kwa nini mmeshindwa ku moderate threads kila zinapoanzishwa? Watu wamelalamika sana ile thread ya ajali ya meli Zanzibar ilichelewa kuwa published. Labda muwe manapublish a thread within 5 minutes from the time it was submitted. Kumbuka watu wengine wanaandika thread on the move or thread ya breaking news.

Then anata kutoa updates za habari husika anakuta bado thread haijawa published.
 
mwita anasema leo ni SPECIAL DAY OF HIM!!
mi sikujua kuwa nae kazaliwa, nilijua kaokotwa kwenye oxidation ponds!
Back to mou!

Memorandum of Understanding,....ahahahahhaaaaaaaaaaaaa!..usirushe mawe wewe mm ninaishi nyumba ya vioo huku masaki
 
Mnataka ku-moderate topic zisizo na maana? Mi nilidhani topic isyo na maana inajifia yenyewwe baada ya muda mfupi tu! Kwa nini mpoteze muda kui-moderate?
There you go!
Mimi mwenyewe sijaelewa ndo maana ikabidi nichat kwanza!
 
Tatizo mnachelewa sana kumoderate na ku publish hizo threads. Kama jukwaa la siasa unatuma thread inachukua almost an hour kabla ya kuwa published. Hata kama habari ilikuwa ya moto, moto unakuwa umeshazima wakati mnaipublish. Hii move ya kumoderate threads kabla ya kuwa published inaweza ika backfire. Watu watakata tamaa ya kuanzisha threads. Kwa nini mmeshindwa ku moderate threads kila zinapoanzishwa? Watu wamelalamika sana ile thread ya ajali ya meli Zanzibar ilichelewa kuwa published. Labda muwe manapublish a thread within 5 minutes from the time it was submitted. Kumbuka watu wengine wanaandika thread on the move or thread ya breaking news. Then anata kutoa updates za habari husika anakuta bado thread haijawa published.
Asante kwa ushauri wako mkuu tutaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom