Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
usihofu, mke mwenza usha mpata, wewe na brother ndio mtakua mfano kwetu
labda mfano wa kuigwa awe Ruttashobolwa
ila Tonykp sijui mi nakueleza kabisaaa!
hahaaa!shemeji lover boy yamekukuta
kila ukitaka demu wabadili ID, mimisa be careful
namjua shemeji yangu!
Kubadili nini vile? nikumbushe nimesahau
my huby sio mlima ndizi
ni loya profesional!nyie ndio walima bange hamjijui!
safi sana
ila nitafurahi kupata mke mwenza!
tusubiri tuone inakuwaje..cos nawashiwa taa nyekundu kila upande..
niko makini Passion Lady..maana ,si bure
Mpenzi usisikilize, yaliyopita si ndwele tugange yajayo
mbna hakuna anekuamini umu mpendwa?