Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

C.T.U asante kwa taarifa maana hiyo
Power Eng na Mechanical Eng inahusu acha ni aply asante sana na ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Kwako: @Hiroaki akahoshi aka noahism aka manoah

from: Chimbuvu
ref; Chitchat/2013/3/6/001

yah: kupokea taarifa ya kuvunja mahusiano

nimepokea taarifa kwa mshtuko mkubwa kutoka kwako ya kuamua kuvunja mahusiano na
binti Rich woman .tukio limekuwa la ghafla sana kwa watu tunaokuzunguka kwa kuwa hatujajua chanzo ni nini,na kama ni tatizo ungelipeleka CC screening kwa ajili ya mapatano.
Na ni tukio la kushtukiza na kwa kweli tunaomba upande wa pili kwa uliotoa talaka iwapo kama watakubaliana nayo ili kama ni mali basi mgawane kabla ya kwenda katika mahusiano mapya.
Kind Regard
Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Walinipenda wenyewe, mie nilikua nampenda mimisa na ninaendea kumpenda na nitampenda daima
Daaaaahhhh kwa hali hii nina mdogo aiseee dogo mtukutu ka steel waya,unavyopenda zali wewe!we haya tu mi nakwambia ngoja Suprise aje ndo utasema yote shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu ! Mie nimeachana na Rich woman kwasababu hakua fair kwangu
Kwako: @Hiroaki akahoshi aka noahism aka manoah

from: Chimbuvu
ref; Chitchat/2013/3/6/001

yah: kupokea taarifa ya kuvunja mahusiano

nimepokea taarifa kwa mshtuko mkubwa kutoka kwako ya kuamua kuvunja mahusiano na
binti Rich woman .tukio limekuwa la ghafla sana kwa watu tunaokuzunguka kwa kuwa hatujajua chanzo ni nini,na kama ni tatizo ungelipeleka CC screening kwa ajili ya mapatano.
Na ni tukio la kushtukiza na kwa kweli tunaomba upande wa pili kwa uliotoa talaka iwapo kama watakubaliana nayo ili kama ni mali basi mgawane kabla ya kwenda katika mahusiano mapya.
Kind Regard
Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Kaka! nahisi maumivu ya kichwa ebu naomba mnisaidie oxygen ya kutosha hapo
Daaaaahhhh kwa hali hii nina mdogo aiseee dogo mtukutu ka steel waya,unavyopenda zali wewe!we haya tu mi nakwambia ngoja Suprise aje ndo utasema yote shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
Usijali mdogo wangu tupo pamoja nafanya jitihada zote niziwezazo kukurudisha ktk hali yako ya kawaida.
Sawa kaka! mfanye haraka maana hapa pamekua pagumu sasa, watu wameisha anza niwekea vikwazo mapema
 
Huyu dogo kavurugwa huyu, mara majina ya kijapani mara arudi mwa zamani ili mradi taabu tupu. alipotoswa na Ciello akabadili jina akajiita noahism, alipomtaka Blaki Womani akajipa majina ya mashariki ya mbali, sasa anamtaka mimisa karudia la zamani, akimpata sijui atajiita nani...!?

Na wewe,kila ukipigwa BAN,unafungua Id mpya,why?
 
Last edited by a moderator:
Daaaaahhhh kwa hali hii nina mdogo aiseee dogo mtukutu ka steel waya,unavyopenda zali wewe!we haya tu mi nakwambia ngoja Suprise aje ndo utasema yote shauri yako.

kaka mtu mwache dogo atafute bado hajapata anapopataka, chance anayo
 
Back
Top Bottom