Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #281
Mbona wamtisha mpenzi wangu!
Mpenzi najua hujasahau time ile nilokukaribisha hapa ndani,mimi kiroho safi nakuachia huyu jamaa japo hajafuata taratibu,ila huyu jamaa ni mtamu sana mwanzoni hahahahaha
.....kwakuwa maji umeyavulia nguo basi huna budi kuyaoga nawaombea tu mfanikiwe...you will always be my friend mimisa
Last edited by a moderator: