Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

Una uhakika kaka?...kwa nini mods huwa wana-merge IDs za mtu ambaye hayupo kifungoni wakigundua ni mtu mmoja???

Hakuna sheria kama hiyo kwenye kanuni za Jf.
Sheria zinazuia kufungua Id mpya wakati upo kwenye BAN,ili kukwepa adhabu ya BAN.
 
Swali moja tu kwako manoah, kwanini unabadili majina kama kinyonga?

Mzima lakini? Nakuja TZ weekend niko hapa kwa kina Raila na Uhuru nahesabu kura zao.
 
Last edited by a moderator:
Niwieni radhi mnisamehe, hii ni mwanzo na mwisho sibadiri tena mwanajeshi mstaafu Arushaone .
Mie mzima! Take care my brother maana hao hawachelewi kuaribu mambo
Swali moja tu kwako manoah, kwanini unabadili majina kama kinyonga?

Mzima lakini? Nakuja TZ weekend niko hapa kwa kina Raila na Uhuru nahesabu kura zao.
 
Last edited by a moderator:
Huyo awe wa mwisho,usibadilishe tena..."tuko wangapi?....."!!
 
hahaaa!shemeji lover boy yamekukuta
kila ukitaka demu wabadili ID, mimisa be careful
namjua shemeji yangu!

 
Last edited by a moderator:
Shemeji sio kweli, mimisa ndie ninae mpenda yani ndio nimekwama kama mwisho wa reli..

basi mimisa awe wa mwisho
ukibadili tena na ushemeji unakufa mi natamani niwe
na mke mwenzangu,we hueleweki,kila siku mpya haaa!
 
Last edited by a moderator:
Sitokuangusha shemeji yangu, ninakuheshimu nina kuthamini so, sitoweza kumuacha mimisa nina mpenda sana na yeye mwenyewe analijua
basi mimisa awe wa mwisho
ukibadili tena na ushemeji unakufa mi natamani niwe
na mke mwenzangu,we hueleweki,kila siku mpya haaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom