Taarifa kwa wana Chit Chat..

Taarifa kwa wana Chit Chat..

nimekuwa motiveted, ntawafuatilia hadi chumbani, natafuta taarifa zako zote, hata Mentor atahack account zako zote
 
Last edited by a moderator:
ah ah! mume chemka babuu nipo na mimisa wangu huku chumbani tunabadilishana majoto tu yani zero distance kama hii.. naaka kamvua mvua ooh mama! acha ninenepe mie
White_Romance____4d3fbc0e100ee.jpg

nimekuwa motiveted, ntawafuatilia hadi chumbani, natafuta taarifa zako zote, hata Mentor atahack account zako zote
 
Last edited by a moderator:
ssssssssshhhhhhhhhh!!!!!! manoah
ah ah! mume chemka babuu nipo na mimisa wangu huku chumbani tunabadilishana majoto tu yani zero distance kama hii.. naaka kamvua mvua ooh mama! acha ninenepe mie
Historical-Romance-Novel-historical-romance-7491579-750-1172.jpg
 
Last edited by a moderator:
kwa moyo wa dhati,bila kushurutishwa..nimekubali kua wako manoah sijali uliyopitia huko nyuma,hayo ni mapito tu na kwa kua umeahidi kubadilika na kua mtu mwema kwangu na kwa wana CC wote..pokea moyo wangu uwe wako.....nakupokea kama mtu mpya..Mungu atulinde atusaidie tudumu pamoja..
copy: cuzin snowhite Kaizer na member wa familia yangu wote walonipokeaga..teh tih teh...
 
Last edited by a moderator:
mimisa, nitahakisha upo salama, mwenye furaha na amani mda wote tutaoishi pamoja mimi na wewe.

Back
Top Bottom