Asante sana bregadia
Nyakarungu umeongea kila kitu.
Kuna kitu umesahau hivi kwenye katiba ya chama kuna kipengele kina ruhusu wanachama kukopeshwa na chama?
Hongera sana bregadia
Nyakarungu umesaha kuuliza aliyempa ruhusa
Godbless J Lema kumpiga tofali Mwigamba?
Kwakweli lema,mbowe,slaa na mtei lazima wakubali kukirudisha chama kwa wananchi.
Bregadia
Nyakarungu nazidi kukuombea usipigwe tofali wala kumwagiwa tindikali.
Bregadia
Nyakarungu pole sana chadema ni chama cha mtei na lema kwa hiyo nguvu nyingi ina hitajika kuwaanisha kuwa hichi chama sio chao.
Bregadia
Nyakarungu huyu M2 anawindwa sana na umwambie awe makini sana wakati akiwa anasaidia kumwaga mboga.
Bregadia
Nyakarungu kifupi kama ulimsikiliza Lisu utagundua alitoboa siri kuwa kikao cha juzi kiliwafukuza Zitto na Kitila.
Bregadia
Nyakarungu umenena vyema kabisa ni mara nyingi Lissu amekuwa akisema kama haki wata hikosa bungeni watarudi kwa wananchi kuwaeleza na kumsema spika wakijua ni nje ya utaratibu na style hiinimekuwa ya kawaida. Lakini namshangaa Lissu kupiga kelele wenzie kufanya nje ya utaratibu wakati anajua kuwa mtu anaweza tafuta haki hata nje ya utaratibu.
Bregadia
Nyakarungu kabla ya report hile ya siri kuchapwa kwenye magazeti kama
Henry Kilewo aliubandika kwenye blog yake(credit kilewo)hivyo anajua alii utoa wapi.
Hata hivyo kamanda
Mungi amesema hile report ni ya kweli na ilikataliwa na chadem a kwa mkakati mahususi,hivyo ni wazi chanzo cha huo waraka ni makao makuu.
Namshukuru kamanda wa lema bwana Mungi kwa kutoboa siri hiyo.
Ni wazi chadema wanaogopa demokrasia na huu ndio mwisho wao.