edwin abdallah
Member
- Jan 14, 2012
- 13
- 1
Ok! watanzania wengi wamekua ni wavivu wa kufikiri kama ilivyowai kutolewa na kigogo mmoja from tanzania ambaye aliamua kua bilionea kwa kuwanyonya raia ili anufaishe tumbo lake na baada ya hapo akaamua kututukana ya kua watanzania nia wavivu wa kifikiri. Hii ni kweli kwani katika mgomo huu wa madakitari wengi walishaanza kupigapiga motomo kuwa kuna mkono wa Chadema na ndo maana hata leo hii ikitokea wana funzi vyouni wanadai mahitaji yoyote ambayo ni muhimu kwao kinachofuata ni timuatimua kwa kuogopa eti kuna Chadema. Tufikirie kwa kina kwani hawa figure tunazoita viongozi kwa sasa ni kazi tupu wamekua ni mizigo kwetu na watatunyonya mpaka tutaishiwa. Kuna wapuuzi wanakaa eti kuwaunga mkono ok1 endeleeni lakini mjue ya kuwa matatizo yanayoendelea hapa nchini sio kwa wanachadema tu bali ni kwa wantanzania wote. Tusiwe wavivu wa kifikiri ebu tushirikishe vichwa kwani tanzania ni yetu sote na sio ya Pinda wala Kikwete tu. Na wapuu wengine wamekua hawatafakari bali wanaunga mkono na hoja ambazo si za msingi. Big up Chadema tuko Pamoja tusikatishwe tamaa na wavivu wa kifikiri ambao hawajui leo wala kesho .