Taarifa kwa Umma Kuhusu Mgomo wa Madaktari - CHADEMA

kama kweli Chadema walikuwa na nia nzuri wangeanza kufutilia issue hii kabla ya madaktari hawajagoma, kuhijack hoja si vizuri. Kuna wengine wengi tu wana matatizo hayo, wawasemee basi, sio kusubiri mpaka wameamua kugoma. Siungu mkono kupoliticize mgogoro wa madaktari na serikali.

We hujui kutu fuatilia vizuri dr Slaa alishatoa tamko kuhusu migogoro kama hiyo,na pia kuna mapendekezo yaliyotolewa na wizara kivuli ya afya,nakushauri usome na kufuatilia usicoment tu
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom