Huburya Charles
Member
- Dec 7, 2011
- 68
- 6
Tunawaomba madaktari wetu chonde chonde kama serikali ni ya kujifunza wameona na watajifunza tunawaomba mludi kazini na serikali isisimamishe hata mtu mmoja wote mlejee kwenye vituo vyenu vya kazi kama kawaida.Mungu awatangulie saaana.CHONDE CHONDE TWAWAOMBA DRs.