Hamna kitu longolongo tu.Hamna chenu, kafanyeni kazi au tafuteni ajira mpya. Mnalo zaidi?
Hamna kitu longolongo tu.Hamna chenu, kafanyeni kazi au tafuteni ajira mpya. Mnalo zaidi?
zomba, zomba, zomba...hakuna cha ajabu madaktari kugoma;Hawana cv za kutosha hawa ndio maana wanang'ang'ania kuwatesa wagonjwa wetu. Kwanza nje huko ukiulizwa kwanini umeacha kazi Tanzania, ukisema "nilikuwa kwenye mgomo", hupewi kazi.
Madaktari wa Kitanzania wenye CV zao za maana wako nje kibao, wako hapa kwenye mashirika ya nje wanakula mifweza sio ya kawaida. Hawa ni wajivuni wachache wanaodanganywa na vikundi vya kijinga. Kwa umbumbumbu wao na wao wanakubali tu kama misukule. Haya endeleeni na mgomo.
1. Some 15,000 doctors across Germany are staging a walkout to press for higher pay and better working conditions, a union said on Monday.Doctors at about 200 public clinics in most German states were on strike and 4,000 gathered for a protest in Munich, the Marburger Bund union said in a statement. The walkout is scheduled to last all week, but the union stressed it could continue indefinitely if the towns and cities running the clinics dont make a better offer.
kwisha habari yenu... na mlishazoea kutumia muda wa serilkali kufanya kazi zenu private hosp. big up JK kama hutaki nemda private
Hawana cv za kutosha hawa ndio maana wanang'ang'ania kuwatesa wagonjwa wetu. Kwanza nje huko ukiulizwa kwanini umeacha kazi Tanzania, ukisema "nilikuwa kwenye mgomo", hupewi kazi.
Madaktari wa Kitanzania wenye CV zao za maana wako nje kibao, wako hapa kwenye mashirika ya nje wanakula mifweza sio ya kawaida. Hawa ni wajivuni wachache wanaodanganywa na vikundi vya kijinga. Kwa umbumbumbu wao na wao wanakubali tu kama misukule.
Haya endeleeni na mgomo.
Walau walishatoa huduma kipindi fulani naye JK na washirika wake watakoendelea kula kodi za waTZ kwa maisha yote!!!! Watume nao waende kwa nyambaf wakonyie madaktari ni wezi wakubwa wa madawa mahospitali na bado ni wezi wakubwa wa muda serikali.nyie ni mafisadi wakubwa na sasa Kikwete hataki tena ujinga wenu.hicho kikao ni choo tu,rudini kazini au nendeni mnakotaka,nyambaf zenu.watu wanakufa ovyo ovyo wakati nyie mnakula kodi zao,wanyama wakubwa nyie
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,
Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.
Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.
Hawana cv za kutosha hawa ndio maana wanang'ang'ania kuwatesa wagonjwa wetu. Kwanza nje huko ukiulizwa kwanini umeacha kazi Tanzania, ukisema "nilikuwa kwenye mgomo", hupewi kazi.
Madaktari wa Kitanzania wenye CV zao za maana wako nje kibao, wako hapa kwenye mashirika ya nje wanakula mifweza sio ya kawaida. Hawa ni wajivuni wachache wanaodanganywa na vikundi vya kijinga. Kwa umbumbumbu wao na wao wanakubali tu kama misukule.
Haya endeleeni na mgomo.
Dr. Wakirudi kazini watakuwa wamejimaliza na jitihada zao zote utakuwa ni ubatili mtupu. Jinsi jk alivokuwa akiongea kwa kigugumizi haamini ktk alilosema. Fanyeni mass resgnation its now or never!
Umenikumbusha Havizya, Msemo huu ndio walikuwa wakiuutumuia Madaktari wanajeshi waliopelekwa kipindi kile Muhimbili kuokoa Jahazi. Kila wakikutana na madaktari wenzao kwenye makorido walikuwa wanawapa msisitizo huo.Kaza buti, kaza kamba, na hakuna kusalim amri, nchi yetu wote hii.
Miongoni mwa wafanyakazi wa umma walionufaika na hatua hizo za Serikali ni madaktari na watumishi wa kada nyingine za huduma ya afya. Tena nadiriki kusema madaktari tumewapa upendeleo mkubwa kuliko watumishi wengine wa umma. Upendeleo upo kwenye mafunzo ambapo wanafunzi wa udaktari wanagharimiwa na Serikali kwa asilimia mia moja wakati wanafunzi wenzao wa taaluma nyingine hawako hivyo.