Taarifa kwa madaktari wote nchini

Taarifa kwa madaktari wote nchini

Madaktari wabinafsi tu hawana lolote.

Madai yao ya kwanza walitaka mabadiliko wizara ya afya kama kipaumbele, mabadiliko yakafanywa na rais. Mponda na Nyoni wote wakaondolewa. Sasa umerudi kivingine wanataka 3.5M nina hakika hata wakipewa hizo mgomo utaendelea pengine this time watadai rais asivae suti awe anavaa kaptula . Huu mgomo ni sababu tu ila hapa ni wazi kuwa hawa madaktari uvivu unawasumbua na wanajua hata wakigoma mwezi mzima serikali itawalipa mshahara unaotokana na kodi zetu sisi wanyonge wakati tukienda hapo Muhimbili hatupati huduma.

Mimi nasema wacha turudi kunywa mizizi fukuza wote tujipange upya.
 
Acha kazi then tafuta kazi kwingine ambako wanalipa zaidi, that's it!
 
[h=6]Mfanyakazi ana kinga ya kutofukuzwa kazi na mwajiri kwa kushiriki mgomo unaokubalika kisheria. Huu siyo. Watapoteza ajira, hawana pa kukimbilia, hawana cha kiwalinda. Kwa madaktari interns, wanahatarisha maisha yao kwani hawatapata cheti cha kudumu wakishiriki mgomo usiokuwa halali. Lazima watafakari sana kwa hayo wafanyayo.[/h]
vitisho vya namna hii haviwezi kumtisha dr. Labda waalimu.
 
Madaktari wabinafsi tu hawana lolote.

Madai yao ya kwanza walitaka mabadiliko wizara ya afya kama kipaumbele, mabadiliko yakafanywa na rais. Mponda na Nyoni wote wakaondolewa. Sasa umerudi kivingine wanataka 3.5M nina hakika hata wakipewa hizo mgomo utaendelea pengine this time watadai rais asivae suti awe anavaa kaptula . Huu mgomo ni sababu tu ila hapa ni wazi kuwa hawa madaktari uvivu unawasumbua na wanajua hata wakigoma mwezi mzima serikali itawalipa mshahara unaotokana na kodi zetu sisi wanyonge wakati tukienda hapo Muhimbili hatupati huduma.

Mimi nasema wacha turudi kunywa mizizi fukuza wote tujipange upya.
Nadhani kiswahili kigumu; wameshaambiwa kuwa -- Waache kazi then wakatafute kwingine ambako wanalipa zaidi it's very simple. Wasiwasi wao ni kuwa watagawanyika, of-course hilo lipo hawawezi kulizuia.
 
Jana mkuu kasema kua million 3.5 hawatoi end of story. Kwa hiyo bora warudi kazini au wafukuzwe watafute wengine.
 
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,

Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.

Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.

ok ni vizuri...
 
vitisho vya namna hii haviwezi kumtisha dr. Labda waalimu.

Ok, mkuu, baada ya wiki mbizi lete jibu uone. Kwa taarifa yako wasiokuwa na alternative watarudi kimya kimya! Mbona Dodoma Government Hospital wametimua baadhi na wengine wanaendelea na kazi. Kiini cha mgomo ni Muhimbili. Na kwa taarifa yako, mikakati inayokuja ni kuifanya hospitali ya Muhimbili mchanganyiko, nusu wajeshi nusu madaktari wa kawaida, na inaendelea kuwa chini ya Serikali. Kama unafuiatilia mambo, kumbuka kilichowatokea Professors wanne wa KCMC, walitimuliwa na wanakanisa wale na mpaka leo wanalia tu na Mahakama. Chezea Serikali wewe, eti Dr. watishwi, yeye Mungu au Malaika. Kutibu ni jukumu lake, na kama mungu akiandike hata waje kumi kukuhudimia, hawawezi kukufufua. Wana umuhimu sana, lakini si kiivyoo wanavyojiweka!.

****** keshasema, asiyetaka si aende huko wanakolipwa vizuri?
 
na mshahara wa mwezi huu msiuombe kwani hamjafanya kazi yoyote kwa wiki mbili. Aisye fanya kazi na asile. Si mwende huko private hospitals au botswana na ulaya mnakotuhadaishia?

Hapa wanashangalia ni sisi walalahoi ambao tunaumia wenyewe'wacha madokta wazidi kugoma na sisi ndio tunazidi kuumia'wewe ulisikia hao mawaziri au wanasiasa wanatabiwa tz hata kama hakuna mgomo?nyinyi wachocheeni wazidi kugoma mwisho wa siku nyinyi ndio mnaotumia bodaboda mkishapata ajali ndio mtajua faida ya kuchochea mgomo'
 
hao waliopo kwenye nyumba za serikali na wanaendelea kugoma watimuliwe wote tena ingewezekana leo leo .
 
"Jumuia ya Madaktari" ni chama gani.....?! Mbona huku mikoani hatukijui...?

wanakijua madaktari,wewe mfinyanga vyungu utakuwa unaijua ccm tu inayokupa kakofia kamoja kila baada ya miaka mitano..........pole sana
 
Nadhani kiswahili kigumu; wameshaambiwa kuwa -- Waache kazi then wakatafute kwingine ambako wanalipa zaidi it's very simple. Wasiwasi wao ni kuwa watagawanyika, of-course hilo lipo hawawezi kulizuia.

Webondo,

Wangekuwa wao ni special kweli kama wanavyodai sasa hivi tusingekuwa na mgomo wa madaktari bali tungekuwa na malalamiko ya serikali kwamba kuna "brain drain" wataalamu wanaondoka wanakimbilia nje. Kuwepo huu mgomo ni dhahiri kwamba hawa hawana pa kwenda ila wanataka ku take advantage ya taaluma yao ili waue wananchi wasio na hatia.
 
Hapa wanashangalia ni sisi walalahoi ambao tunaumia wenyewe'wacha madokta wazidi kugoma na sisi ndio tunazidi kuumia'wewe ulisikia hao mawaziri au wanasiasa wanatabiwa tz hata kama hakuna mgomo?nyinyi wachocheeni wazidi kugoma mwisho wa siku nyinyi ndio mnaotumia bodaboda mkishapata ajali ndio mtajua faida ya kuchochea mgomo'

Wacha wagome na wao wenyewe watakosa mshahara wataumia.
 
Hata pale tunisia ilibidi kijana ajitoe muhanga kwa kujichoma moto ndipo vuguvugu la kujikomboa kwa haki zikaanza.nitafurahi iwapo ulimboka atalianzisha hapa tanzania.mie ni dakitari fulldose nipo nanyi.7kwani matokeo ya dhambi ,adhabu hujumuika.kuweni kama mizimu msiogope binadamu kwani mmeshavalishwa ushetani ndo maana wanawatoa kucha bila ganzi

Unamsukumia Ulimboka jiwashe moto wewe usikie raha ya kuwaka na kuwa nyama choma mwenzako Ulimboka yaliyompata Kama Kujitoa Mhanga angekataa kutibiwa uhai Muhimu japo madr. Mgomo wenu Ni mwiba kwa maisha ya Watz wanaohitaji huduma zenu. Nyie madr. Mliogoma mna dini kweli misikitini na makanisani mnaenda kweli ninyi
 
vitisho vya namna hii haviwezi kumtisha dr. Labda waalimu.

Tibu Au acha kazi ukafanye Kazi mbadala Sasa sijui Ni ipi. Poleni sana. Madr. Mliogoma mna wakati mgumu ombeni muombewe
 
Zomba ndiye ACP Msangi shemeji yake na Said Mwema na Rafiki wa Abeid naye huyu ni kutoka Ugweno!

Eeeeh bwana wee, wewe lazima una mapepo yanayokupa habari, umejuaje yote hayo? au ni ufunuo?
 
Back
Top Bottom