MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
Mashoga hufurika sana kumbi za taarabu na mashairi hayo huhamasisha ushoga.
.
Kwahiyo kwenye Mikoa na Nchi wapenzi wa Taarabu kumejaa Mashoga, Aiseh
Mashoga hufurika sana kumbi za taarabu na mashairi hayo huhamasisha ushoga.
.
We umejuaje yote hayo????Naomba nikurekebishe sio taarabu sema mziki wa mipasho nikipenzi cha wanawake hasa wamama wanyumbani katika mitaa yetu ya uswahilini,ambao shughuli zao kama sio biashara za vitenge,madila sijui dera,chupi za kike na saloon sasa hawa mashoga ndio huwa maswahiba wao wakubwa ndomana kwenye kila vilinge vyao utawakuta pia mashoga wengi hupendelea fani za kina mama kama hizo za saloon nanyingine,upishi,uhudumu mahotelini
nimeishi mtaa ulio kuwa na vijana wenye tabia kama hizo za kishogaWe umejuaje yote hayo????