Taarabu zinachochaea ushoga, Viongozi kaaeni mbali

Ni ukweli usiopingika kwamba % kubwa ya wahudhuriaji wa taarab ni wanawake. Waliobaki ni wanaume walio na hormone za kike.

Baadhi ya sifa za wanaume wahudhuria taarab ni kuweka dawa nywele, kufuga kucha, kujichubua, kusoma magazeti ya udaku na kushabikia watangazaji na ma-dj wa redioni.

Ukiona mwanaume ni mwenye kuhipamba sana na kunukia uturi wa kike, basi na taarab anapenda.//

hapa umemaliza kila kitu.ila tarajia mashambulizi toka kwa hopeless & useless
 
Tukubali haya mambo yawe HALALI , mwenye kufanya tumjue

yani mkuu naona umedhamiria!ila hatuwezi kukubali yawe halali kama tusivyoweza kukubali uchangudoa.
mimi nakubaliana na mtoa hoja kwa %kadhaa japo kwa maeneo mengi ya pwani taarabu hupendwa tu nawatu wengi,
ila hii inayoimbwa siku hizi mipasho haifai kabisa na mashoga ndio nyumbani kwao,i hate this mipasho
 
Katika maisha yangu nimewahi kuupenda wimbo mmoja tu wa Taarabu
unaitwa NATANGA NA NJIA umeimbwa na Ally Star mwenye nao anirushie nitampa 10,000

Hata hivyo nataka niseme kuwa hii hoja si ya kweli, Vitendo vya ushoga kwa hapa nchini
vimejikita zaidi maeneo ya pwani sina haja ya kueleza sababu, pia muziki wa taarabu
unapendwa na umeanzia maeneo ya Pwani hivyo bila kujali shoga au si shoga wapenzi
wengi wa Muziki walioko maeneo ya pwani wanapenda taarabu. TAARABU HAIHAMASISHI
USHOGA, ELTON JOHN NI SHOGA ANAIMBA TAARABU?
Hata wewe ni shoga tu.
 
Mashoga hufurika sana kumbi za taarabu na mashairi hayo huhamasisha ushoga.

Mashairi haya kwa miaka mingi hutungwa na wanaume japo mengine hupewa wanawake kuimba.

Walitokea akina Farouk wanaume waliojipamba na kunengua majukwaani kama wanawake wakiusifu ushoga. Wengine wakaimba wakaficha ushoga kwenye nyimbo kama "Nyama ya Bata tamu"

Waimbaji Salha Abdallah na Amosi au anti Asu wamesikika wakinena kuachana na ushoga, wamekiri walikuwepo kwenye ushoga. Juma Balo wa Mombasa usiseme ndio alikuwa ....... Mzee Yosefu na CD ....
sio chakacha mkuu?

https://www.youtube.com/watch?v=_NA8CjAcgAM

https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=_NA8CjAcgAM
 
Wadau naomba kuuliza, hivi wale mapadri wa kikristo wanaaaona wenyewe kwa wenyewe wamefundishwa kuoana kwa kutumia taarabu gani? Na wale mapadri wanaolawiti watoto kutoka katika kanisa katoliki aamejifunza kutoka taarabu ipi? Majibu tafadhari.

Ata mm nasubili majibu bana..
 
DSC_0523.JPG

Kionjo Mufaka. A naked fact!!
 
Back
Top Bottom