Taarabu zinachochaea ushoga, Viongozi kaaeni mbali

Mashoga hufurika sana kumbi za taarabu na mashairi hayo huhamasisha ushoga.

Mashairi haya kwa miaka mingi hutungwa na wanaume japo mengine hupewa wanawake kuimba.

Walitokea akina Farouk wanaume waliojipamba na kunengua majukwaani kama wanawake wakiusifu ushoga. Wengine wakaimba wakaficha ushoga kwenye nyimbo kama “Nyama ya Bata tamu”

Waimbaji Salha Abdallah na Amosi au anti Asu wamesikika wakinena kuachana na ushoga, wamekiri walikuwepo kwenye ushoga. Juma Balo wa Mombasa usiseme ndio alikuwa ....... Mzee Yosefu na CD ....

DSC_0523.JPG
 
Ni ukweli usiopingika kwamba % kubwa ya wahudhuriaji wa taarab ni wanawake. Waliobaki ni wanaume walio na hormone za kike.

Baadhi ya sifa za wanaume wahudhuria taarab ni kuweka dawa nywele, kufuga kucha, kujichubua, kusoma magazeti ya udaku na kushabikia watangazaji na ma-dj wa redioni.

Ukiona mwanaume ni mwenye kuhipamba sana na kunukia uturi wa kike, basi na taarab anapenda.//
 
Mdau umechambua na kunyambulisha vizuri
 
Katika maisha yangu nimewahi kuupenda wimbo mmoja tu wa Taarabu
unaitwa NATANGA NA NJIA umeimbwa na Ally Star mwenye nao anirushie nitampa 10,000

Hata hivyo nataka niseme kuwa hii hoja si ya kweli, Vitendo vya ushoga kwa hapa nchini
vimejikita zaidi maeneo ya pwani sina haja ya kueleza sababu, pia muziki wa taarabu
unapendwa na umeanzia maeneo ya Pwani hivyo bila kujali shoga au si shoga wapenzi
wengi wa Muziki walioko maeneo ya pwani wanapenda taarabu. TAARABU HAIHAMASISHI
USHOGA, ELTON JOHN NI SHOGA ANAIMBA TAARABU?
 
Nyimbo zake km candle in the wind haina uhusiano. Zingekuwa na uhusiano zingepigwa kalamu kwenye jamii.

Picha za Catoon zilizokuwa zinahamasisha ushoga kwa mtazamo wa mavazi tu zillipigwa marufuku kwenye maduka na TV.
 
Mashoga hufurika sana kumbi za taarabu na mashairi hayo huhamasisha ushoga.

Mashairi haya kwa miaka mingi hutungwa na wanaume japo mengine hupewa wanawake kuimba.

Walitokea akina Farouk wanaume waliojipamba na kunengua majukwaani kama wanawake wakiusifu ushoga. Wengine wakaimba wakaficha ushoga kwenye nyimbo kama “Nyama ya Bata tamu”

Waimbaji Salha Abdallah na Amosi au anti Asu wamesikika wakinena kuachana na ushoga, naye amekiri alikuwepo kwenye ushoga. Juma Balo wa Mombasa usiseme ndio alikuwa ....... Mzee Yosefu na CD ....
Aaah wapi hilo halitawezekana kabisa festi ledi wetu mwenyewe ni mlevi wa taarab mr ndo usiseme chama dume ndo kabisaaa
 
Katika maisha yangu nimewahi kuupenda wimbo mmoja tu wa Taarabu
unaitwa NATANGA NA NJIA umeimbwa na Ally Star mwenye nao anirushie nitampa 10,000
Hata hivyo nataka niseme kuwa hii hoja si ya kweli, Vitendo vya ushoga kwa hapa nchini
vimejikita zaidi maeneo ya pwani sina haja ya kueleza sababu, pia muziki wa taarabu
unapendwa na umeanzia maeneo ya Pwani hivyo bila kujali shoga au si shoga wapenzi
wengi wa Muziki walioko maeneo ya pwani wanapenda taarabu. TAARABU HAIHAMASISHI
USHOGA, ELTON JOHN NI SHOGA ANAIMBA TAARABU?

Padri mushi alikamatwa analawiti mtoto pale maeneo ya chuo kikuu bila shaka nae anatokea pwani. Kuna mwimba taarsbu anaitwa temba naye ni wali waliwa bila shaka naye anatoka pwani. Kwa kifupi hata vatican ina asili ya pwani
 
Ni ukweli usiopingika kwamba % kubwa ya wahudhuriaji wa taarab ni wanawake. Waliobaki ni wanaume walio na hormone za kike.

Baadhi ya sifa za wanaume wahudhuria taarab ni kuweka dawa nywele, kufuga kucha, kujichubua, kusoma magazeti ya udaku na kushabikia watangazaji na ma-dj wa redioni.

Ukiona mwanaume ni mwenye kuhipamba sana na kunukia uturi wa kike, basi na taarab anapenda.//

Mwana mtoka pabaya unapajua ulipotoka lakini?
 
Padri mushi alikamatwa analawiti mtoto pale maeneo ya chuo kikuu bila shaka nae anatokea pwani. Kuna mwimba taarsbu anaitwa temba naye ni wali waliwa bila shaka naye anatoka pwani. Kwa kifupi hata vatican ina asili ya pwani

Ushoga una uhusiano wa biashara ya utumwa (Tazama Filamu ya "Kunta Kinte") Pia na vita ya muda mrefu ya Wamarekani kule Vietnam. Taarabu ni chombo cha kuhamasisha.
 
Mpmbo ya Mkononi.
Mapete
Utanashati
Aina za Viatu biala soksi.
Suruali mbano
Mkoba wa kiaina ?? Umeniacha na maswali
 
Padri mushi alikamatwa analawiti mtoto pale maeneo ya chuo kikuu bila shaka nae anatokea pwani. Kuna mwimba taarsbu anaitwa temba naye ni wali waliwa bila shaka naye anatoka pwani. Kwa kifupi hata vatican ina asili ya pwani
Kweli mkuu inawezekana hizi ni dhana tu zimejengwa na hakuna ukweli
Nimeishi Lindi, Mtwara, na Dsm ni Dar pekee ndiyo tabia hizi nimeziona
Tena kwa baadhi ya mitaa tu Hususani Magomeni.
 
Padri mushi alikamatwa analawiti mtoto pale maeneo ya chuo kikuu bila shaka nae anatokea pwani. Kuna mwimba taarsbu anaitwa temba naye ni wali waliwa bila shaka naye anatoka pwani. Kwa kifupi hata vatican ina asili ya pwani

Masuala ya Vatican yanaingiaje hapo?
 
Wadau naomba kuuliza, hivi wale mapadri wa kikristo wanaaaona wenyewe kwa wenyewe wamefundishwa kuoana kwa kutumia taarabu gani? Na wale mapadri wanaolawiti watoto kutoka katika kanisa katoliki aamejifunza kutoka taarabu ipi? Majibu tafadhari.
 
Padri mushi alikamatwa analawiti mtoto pale maeneo ya chuo kikuu bila shaka nae anatokea pwani. Kuna mwimba taarsbu anaitwa temba naye ni wali waliwa bila shaka naye anatoka pwani. Kwa kifupi hata vatican ina asili ya pwani

I like it. Big up.
 
Mashoga hufurika sana kumbi za taarabu na mashairi hayo huhamasisha ushoga.

Mashairi haya kwa miaka mingi hutungwa na wanaume japo mengine hupewa wanawake kuimba.

Walitokea akina Farouk wanaume waliojipamba na kunengua majukwaani kama wanawake wakiusifu ushoga. Wengine wakaimba wakaficha ushoga kwenye nyimbo kama “Nyama ya Bata tamu”

Waimbaji Salha Abdallah na Amosi au anti Asu wamesikika wakinena kuachana na ushoga, wamekiri walikuwepo kwenye ushoga. Juma Balo wa Mombasa usiseme ndio alikuwa ....... Mzee Yosefu na CD ....

Tafiti kabla ya kuzungumza. Wasiwasi wangu ni kuwa ulifikiri kwa kutumia makalio badala ya kutumia akili. Uongo babake, umeliwa
 
Back
Top Bottom