Bila kujua zinatengenezwa vipi, ujue soda sio bia, hawawezi kuwa kitu kimojaMkuu wewe endelea kunywa soda zako.na mango passion!
Laiti ungejua izo zinavyotengenezwa wala usingeleta huo uzi hapa.!
Alafa shida sio pombe,shida ni mnywaji..!
Pombe haijawai kuwa na shida kwa waastaarabu..!
Kunyweni kwa kiasi.Ukifuatilia vizuri watu wenye taabu fulani maishani ndio hutumia sana pombe ili wasahau uchungu walio nao moyoni ili wajiliwaze.
Uzuri ni kwamba biblia imetufunulia yote katika:
Mithali 31:
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Utakunywa pombe utasahau machungu kwa muda tu asubuhi ikifika pombe itaisha utaendelea kuyakumbuka machungu yako.
Dawa ni kumrudia Yesu, akutue mzigo wako. Acha pombe haitoi machungu.
Uko sahihiUkifuatilia vizuri watu wenye taabu fulani maishani ndio hutumia sana pombe ili wasahau uchungu walio nao moyoni ili wajiliwaze.
Uzuri ni kwamba biblia imetufunulia yote katika:
Mithali 31:
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.
Utakunywa pombe utasahau machungu kwa muda tu asubuhi ikifika pombe itaisha utaendelea kuyakumbuka machungu yako.
Dawa ni kumrudia Yesu, akutue mzigo wako. Acha pombe haitoi machungu.
HahahaMkuu wewe endelea kunywa soda zako.na mango passion!
Laiti ungejua izo zinavyotengenezwa wala usingeleta huo uzi hapa.!
Alafa shida sio pombe,shida ni mnywaji..!
Pombe haijawai kuwa na shida kwa waastaarabu..!
Hapa umeongea uongoPombe inaweza kuzima hisia kwa muda Yesu ndiye anayebadilisha moyo na kukupa nguvu ya kukabiliana na maisha
Yesu Hana Msaada wowote kwenye maisha ya watu, usipopambana mwenyeweDawa ni kumrudia Yesu, akutue mzigo wako. Acha pombe haitoi machungu.
🤣😂 Tulia basi mkuu, usinichonganishe na mtumishi naheshimiana nae sana.Hapa umeongea uongo
Hukatazwi kuamini unachoamini, ila huruhusiwi kujumuisha wote kwenye kundi lako la kutokuamini.Yesu Hana Msaada wowote kwenye maisha ya watu, usipopambana mwenyewe
Kwani nimemjumuisha mtu hapa? Mpaka watu wameenda kutatua matatizo kwa kunywa pombe, wengine kujiuza na wengine hadi kujiua huyo Yesu anakuwa wapi?Hukatazwi kuamini unachoamini, ila huruhusiwi kujumuisha wote kwenye kundi lako la kutokuamini.
Atafute pesa mamnyo , atapata sukari bure , watu wanautumia mshahara wake bar kwa usiku mmoja tu, ajitathimini sana.ba mnyang’ode unahitajika huku utie neno😎
Ana msaada ndugu 100%. Akili za binadamu zina mwisho. Kuna vitu haziwezi kufanya kutokana na mazingira au muda uliopo. Hapo sasa ndio Yesu anahitajika sana.Yesu Hana Msaada wowote kwenye maisha ya watu, usipopambana mwenyewe
Kama vipi?Ana msaada ndugu 100%. Akili za binadamu zina mwisho. Kuna vitu haziwezi kufanya kutokana na mazingira au muda uliopo. Hapo sasa ndio Yesu anahitajika sana.
Mtakatifu Kambarage akipiga vombo...
HahahaMtakatifu Kambarage akipiga vombo...
Ahahahhaha 😅😅😅😅kama wafuasi wa Yesu walipiga na wakapungukiwa na akayabariki maji yakawa pombe kwanini mtakatifu kambarage asijipigie...Mtakatifu Kambarage akipiga vombo...