ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,785
Mojawapo ya maelekezo ya Rais Samia Baada ya kushika Kijiti ilikuwa ni kuhakikisha watu wanafanya biashara mchana na usiku.
Aliagiza hakuna kujenga barabara za lami bila taa na akaagiza Polisi/Latra wawezeshe usafiri wa masaa 24.
Ubunifu huu umewezesha kufungiwa taa Kila Miji wa Tanznaia hii kutoka Dar Hadi Bunda,Mtwara Hadi Ngara na Tanga Hadi Namanyere.
Miji yote mikubwa na midogo imefungwa taa za Barabarani na Sasa biashara zinafanyika mda wote na usafiri uko mda wote.
Kabla ya Samia ,swala la Taa za Barabarani ilikuwa ni anasa na jambo la kujivunia Kwa Majiji makubwa hasa Dar,tulikuwa tunataniana kwamba watu wa Mikoani tunaenda Dar kushangaa mataa na magorofa ila Leo hii ni historia.Taa ziko Kila sehemu.Hongera sana Rais Samia Kwa ubunifu huu.
Tusiishie hapa Bali kwenye masoko kote tufunge taa na tuache ujinga wa kufunga masoko eti tunaenda kulala Bali Kila mtu afanye biashara mda anaotaka na atalala mda anaotaka Ili kusudi tukuze Uchumi wa Nchi yetu.
Kazi iendelee 👇
View: https://www.instagram.com/p/C21YTSKoy-v/?igsh=enlubGJpajl1bTV4