Syria yatungua Ndege ya Urusi

Syria yatungua Ndege ya Urusi

Hata kama hio ndege ya Russia ilishambuliwa kimakosa na Syria, ukweli ni kwamba Israel ilitumia F16 zake kukaribia hio ndege ya Urusi kimaksudi ndio ishambuliwe na air defences za Syria.
Kwa hivyo, Israel is responsible for the loss of the Russian aircraft and death of the airmen onboard. Swali ni, kwa nini Putin hataki kulipisha hilo shambulio la Netanyahu?

Ni kwa sababu Putin anaelewa kile Netanyahu anataka - kuanzisha vita vya tatu vya dunia(World War 3). Ndio sababu Israel imekuwa ikishambulia Syria wakijua vizuri kuwa Russia inasaidia Syria na iko na wanajeshi wengi huko.

Ni kama mtu kuvamia nyumba ya rafiki yako kama wewe umemtembelea huyo rafiki. Ni kuonyesha huyo mtu amekukosea hata wewe heshima. Kwa hivyo, Israel imekosea Russia heshima kabisa.

Lakini, kama vile nimesema hapo juu, Putin anaelewa Israel wanataka ashambulie ndege zao ndio Marekani iingilie, mpaka vita iwe ni kati ya Urusi na Marekani.

Ukweli ni kwamba, vigogo wa wayahudi duniani wanataka sana kuwe na vita vya dunia kwa sababu ya mambo mengine ambayo yanafanyika duniani sasa, ambapo wanaona kama watu watajua vile wamefanya mambo mambaya sana dhidi ya watu ambao si wayahudi. Fikiria akina Rothschilds na wengineo.
 
Tatizo la Sexer ni uelewa mdogo wa haya mambo wala msilaumu,yeye anajua hapa ni kama tunashabikia yanga na simba,wakati kuna maisha ya mamilioni ya watu yanahusika hapa,undefinedPutin anajua wazi akireact kwa kukurupuka ndo mwanzo wa vita kuu,sasa anatumia akili sana,anajua hawa wamagharibu wana Ego ambayo haijali thamani ya maisha ya watu,mfano tu syria wangeangusha ndege ya marekani,saa hizi damusca ingekuwa majivu na wangeendelea kuhubiri democracy bila kujali wameangamiza watu wangapi,hili haliingii akilini kwa huyu @sexer,yeye kwa uelewa wake anafikiri hili ni suala la ushabiki,Russia watarespond lakini sio kama anavyodhania yeye
 
Ha ha ha. Itakuwa Israel alii-fake ionekane kama ya adui. Lakini tunaambiwa Syria anatumia advanced technology ya GPS kutoka Iran; vipi tena wanatungua dege la rafiki yao?

Hii mpya!!! Tangu lini GPS zikahusika kusaidia Air Defense System kutambua kwamba hii ni ndege rafiki hii ni ndege ya adui - lini?

Air Defense systems za kisasa zina uwezo mkubwa wa kutofautisha ndege rafiki na ndege za adui lakini hazitumii GPS kufanikisha hilo, hata hivyo S-200 inayo tumiwa na Syria ni makombola ya kizamani hayana uwezo wa ku-distinquish baina ya ndege rafiki na ndege za adui S-200 kazi yaje ni ku-track na kutungua flying vehicle basi.
 
Ila Sexer una chuki kali sana kwa Putin Urusi kwa ujumla,jifunze kwa msemaji wa Pentagon LT Gen ze kukoyo,yeye hayuko na chuki kali kama yako.
Hizo ni hisia zako, Ila Putin ni boya kama kweli hana noma na Israel kushambulia Syria na huko iko wazi israel=US, kwa hiyo hapo no sawa na kusema Russia hana noma na US kushambulia Syria wakat hapahapo yeye anaitetea Syria na watawala wake, yaani hapo hats ukisema US ndo kashambulia ndege ya Syria ni sawa tu. Sasa bado hujaona tu Putin ni boya
 
Measure are been taken as we speak,Russia is establishing a no fry zone ove mediteraniaundefined#Russia|n Navy "Marshal Ustinov" (055) Slava-class guided missile cruiser which has 64 S-300F surface to air missiles is now sailing in #MediterraneanSeawaters NW. of #Israel. However it has blocked airspace over NW of Israel till FL190 but its S-300s are dangerous till FL900!undefined
DnctOQ2X0AAuxz4.jpg:small
 
Tatizo la Sexer ni uelewa mdogo wa haya mambo wala msilaumu,yeye anajua hapa ni kama tunashabikia yanga na simba,wakati kuna maisha ya mamilioni ya watu yanahusika hapa,undefinedPutin anajua wazi akireact kwa kukurupuka ndo mwanzo wa vita kuu,sasa anatumia akili sana,anajua hawa wamagharibu wana Ego ambayo haijali thamani ya maisha ya watu,mfano tu syria wangeangusha ndege ya marekani,saa hizi damusca ingekuwa majivu na wangeendelea kuhubiri democracy bila kujali wameangamiza watu wangapi,hili haliingii akilini kwa huyu @sexer,yeye kwa uelewa wake anafikiri hili ni suala la ushabiki,Russia watarespond lakini sio kama anavyodhania yeye
Kwa akili yako kushabikia Russia kama unavyofanya wewe na hao warusi wenzio ndo kuwa na uelewa mkubwa!!
 
Notification iliyotolewa na Russia ni kuwa kutakuwa na no fly zone kwa ndege za israel kwa wiki moja ,ila ni kuwa ndege za israel zinaruhusiwa kuruka futi 19000 usawa wa bahari chini ya hapo watazilipua,undefinedBased on NOTAMs issued by #Russia|n Navy, if an #Israel|i fighter jet wants to fly out of #Israel& even attack #Syria, it must fly above 19,000ft. If flies below, it will be shot-down by Russian S-300F. But flying above 19,000ft will cause their shot-down by #Syria|n S-200s!
 
Write your reply...@kokuyo,juzi hawakushambulia base ya iran,walishambulia international airport upande wa military wing,kwani kulikuwa kumetua Antonov ya iran inashusha mizigo waliyodhani ni ya jeshi,lakini ile ndege wali imiss na jioni ilirudi iran.
Kisha siku iliyofuata wakadai wanashambulia base ya iran kule Latakia,tukio lilopelekea kutunguliwa kwa ndege ya ELINT ya Russia,pale latakia hakuna base ya iran,labda walishambulia mbuga tu,kuna picha huko twitter za shambulio la damusca airport ikionyesha ndege waliimiss kwa mita chache,nadhani kuna mengine yalidunguliwa,
hakuna footage ya shambulizi la latakia mpaka saa hii,sasa sijui makombora yalidunguliwa yote ama ndo yaliangukia mbugani kama nivosema mwanzo,
jana usiku tena Antonov ya iran imetua damusca na kuondoka baada ya kushusha mzigo,inaonyesha mashambulizi ya israel ni useless,iran huwa hafanyi mashambulizi useless anapofanya kitu lazima kiwe na effect,ndo maana wanampigia mahesabu tu,siku kitu kikitua pale demona na utajua nilikuwa namanisha nini,
mashambulizi ya israel ni sawa na kimbao kakosana na sixpack,sasa kimbao anavizia sixpack kageukia huko hana habari ,kimbao ananyata na kumzaba banzi la bega sixpack kisha mbio,sasa siku sixpack amtie mkononi huyo kimbaombao na ataimba haleluya......
We jamaa unajua sana
 
Notification iliyotolewa na Russia ni kuwa kutakuwa na no fly zone kwa ndege za israel kwa wiki moja ,ila ni kuwa ndege za israel zinaruhusiwa kuruka futi 19000 usawa wa bahari chini ya hapo watazilipua,undefinedBased on NOTAMs issued by #Russia|n Navy, if an #Israel|i fighter jet wants to fly out of #Israel& even attack #Syria, it must fly above 19,000ft. If flies below, it will be shot-down by Russian S-300F. But flying above 19,000ft will cause their shot-down by #Syria|n S-200s!
Naomna link yq hii taarifa nisome vizuri zaidi
 
Inakaa kama hapo mediteranian,warships are buildingup baada ya russia kufunga anga la mediterania na baadshi ya sehemu za israel,denmark,canada,marekani,germany,greece wote wako area,undefined#Russia|n Military Sources told me that however #IsraelPM. #Netanyahuhas convinced #Russiapresident #Putinthat the Il-20M shot-down was an accident, but the airspace around #Israelwill be blocked by 14 #RussiaNavy ships from FL000 to FL190 untill 26 September
 
Sijazipata mainstream media,nenda Twitter search Russia no fly zone au mediterrania
 
Ila Sexer una chuki kali sana kwa Putin Urusi kwa ujumla,jifunze kwa msemaji wa Pentagon LT Gen ze kukoyo,yeye hayuko na chuki kali kama yako.
Hahahaha msemaji wa Pentagon tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Inakaa kama hapo mediteranian,warships are buildingup baada ya russia kufunga anga la mediterania na baadshi ya sehemu za israel,denmark,canada,marekani,germany,greece wote wako area,undefined#Russia|n Military Sources told me that however #IsraelPM. #Netanyahuhas convinced #Russiapresident #Putinthat the Il-20M shot-down was an accident, but the airspace around #Israelwill be blocked by 14 #RussiaNavy ships from FL000 to FL190 untill 26 September
Hate hiyo haitaizuia Israel kuishambulia Syria pindi wakitaka wapo na options kibao. Pia huko Mediterranean Kuna vikundi vya navy vimepaki huko kuanzia Russia yenyewe,Marekani (nasikia wamepeka mpk Submarine,Kama ile iliyotumika mwezi April kurusha Tomahawks na bila shaka itakua Ni Los Angeles class Sub),na nchi nyingine za NATO kama France,nk
 
Back
Top Bottom