Syria yatungua Ndege ya Urusi

Syria yatungua Ndege ya Urusi

Write your reply...@Moyes lakini iran huwa harembi,si umecheki juzi alivyowatungua wakurdi kule iraq?
Na hata mwezi may lile sakata,kama sio putin kuingilia kilikuwa kimeshawaka kule Quinetra,ni putin huyu ndo aliwasihi iran waache kurusha makombora golan,na ndicho kilifanya israel asiwasaidia wale waasi waliokuwa mpakani pale kwa kuhofia mapambano yanaweza ingia mpaka ndani ya israel,marekani pia haikuingilia kule kusini kwa kuhofia vita kuspillover ndani ya israel,sasa walipanga kuingilia pale indlib kwani iko kaskazin ,mbali na israel
 
Hatar San.Syria hawajui madhara ya walichofanya.sikio linazidi kichwa
 
Shoigu reiterated that Israel failed to notify Russia of the impending attack in a way that would have given its military an opportunity to move the Il-20 out of harm’s way. Instead, the warning came just one minute before the Israeli F-16 fighter jets launched their attack.

“The blame for the downing of the Russian plane and the deaths of its crew members lies squarely on the Israeli side,” the Minister Shoigu said. “The actions of the Israeli military were not in keeping with the spirit of the Russian-Israeli partnership, so we reserve the right to respond.

rt.com
Russia ‘reserves right to respond’ after saying Israel’s actions led to downing of Il-20 by Syria
Safi San.short and clear
 
Write your reply...putin asipojibu hili,ama atleast kuchukua hatua ya kuzuia israel kushambulia syria,ni bora akaondoka syria kabla hajapata aibu kubwa zaidi,maana marekani wanamtumia israel kupima reaction ya Russia syria kabla hawajaanzisha mashambulizi makubwa dhidi ya syria,kumbuka lengo kubwa ni kumtoa assad na msaudia kishatoa pesa ndefu mradi tu Assad anaondoshwa syria,na hii ni baada ya Assad kukataa offer ya saudi arabia kwamba avunje uhusiano na iran na kuwaondoa iran na hezbollah syria halafu vita viishe na Assad aendelee na urais na pia syria itajengwa upya na saudi,
assad akagoma,sasa wana hasira na wameapa Assad laziima aondoke,na this time arround wanamtanguliza israel kama kipima joto cha kupima reaction ya Russia,kama putin akiendelea kuwachekea ndege za israel na washirika watatwanga airbase yake
Kumbe huyu Putin mnaetuminisha yuko smart kichwani kumbe ni uongo. Kama wewe wa kahama center unajua yote haya afu huyo Putin wa Moscow hajui bas Putin ni boya tu.
 
Hii iwe ni funzo kwa Russia kwa Ku play double standards uko Syria....Jana Syria ilishambuliwa ktk vituo vyake kadhaa cha kushangaza Syria iliweza Ku engage makombora yaliyorushwa na F-16 za Israel na Makombora toka ktk Manowari za France ktk maeneo ya Latakia jiran kabisa na Kituo kikubwa cha Kijeshi cha Russia.....France mapema Leo ikaruka kua haikuhusika na udunguaji wa ndege ya intelejensia ya Russia lakin walishiriki ktk kurusha makombora watu wengi wakimo wafaransa wameshangaa kwann nchi yao imehusika...Hii ni funzo kwa Russia kwa kuruhusu Israel afanye anachotaka uko Syria sasa kwa utoto huu Russia wamefikiwa japo Syria ndo ameangusha lakin alikua anapambana na Israel,France na zilikuepo ndege vita za UK zikiwa zimezima transponder ili zisiwe tracked! Russia wameilaumu Israel kwa uchokozi huu ilipelekea wanajeshi 15 na ndege ya Urusi kudunguliwa baharini....Putin ni very smart baada ya Turkey kudungua dege vita la Urusi Uturuki ikawa rafiki wa Russia... chochote afanyacho Israel uko Syria ana back up ya US,UK,France na Leo njama zao zimedhihirika na lengo ni Syria ichafuke iwe dhaifu kiuchumi na kijeshi atimae Urusi majeshi yake na vituo vyake viwe havina ulinzi ili aondoke.....
Maskin warusi mnatia huruma!!
 
Write your reply...@Moyes lakini iran huwa harembi,si umecheki juzi alivyowatungua wakurdi kule iraq?
Na hata mwezi may lile sakata,kama sio putin kuingilia kilikuwa kimeshawaka kule Quinetra,ni putin huyu ndo aliwasihi iran waache kurusha makombora golan,na ndicho kilifanya israel asiwasaidia wale waasi waliokuwa mpakani pale kwa kuhofia mapambano yanaweza ingia mpaka ndani ya israel,marekani pia haikuingilia kule kusini kwa kuhofia vita kuspillover ndani ya israel,sasa walipanga kuingilia pale indlib kwani iko kaskazin ,mbali na israel
Hao Iran si Juzi tu hapa Jumamosi airbase yao imepigwa mabomu na Israel
 
Hii iwe ni funzo kwa Russia kwa Ku play double standards uko Syria....Jana Syria ilishambuliwa ktk vituo vyake kadhaa cha kushangaza Syria iliweza Ku engage makombora yaliyorushwa na F-16 za Israel na Makombora toka ktk Manowari za France ktk maeneo ya Latakia jiran kabisa na Kituo kikubwa cha Kijeshi cha Russia.....France mapema Leo ikaruka kua haikuhusika na udunguaji wa ndege ya intelejensia ya Russia lakin walishiriki ktk kurusha makombora watu wengi wakimo wafaransa wameshangaa kwann nchi yao imehusika...Hii ni funzo kwa Russia kwa kuruhusu Israel afanye anachotaka uko Syria sasa kwa utoto huu Russia wamefikiwa japo Syria ndo ameangusha lakin alikua anapambana na Israel,France na zilikuepo ndege vita za UK zikiwa zimezima transponder ili zisiwe tracked! Russia wameilaumu Israel kwa uchokozi huu ilipelekea wanajeshi 15 na ndege ya Urusi kudunguliwa baharini....Putin ni very smart baada ya Turkey kudungua dege vita la Urusi Uturuki ikawa rafiki wa Russia... chochote afanyacho Israel uko Syria ana back up ya US,UK,France na Leo njama zao zimedhihirika na lengo ni Syria ichafuke iwe dhaifu kiuchumi na kijeshi atimae Urusi majeshi yake na vituo vyake viwe havina ulinzi ili aondoke.....
Hapa mimi ndo huwa nauona Ukuu wa Urusi,ikiwa mataifa makubwa yanaungana kudili na taifa moja tena, ndani ya umoja wao kuna Super Power USA.!

kwa maelezo yako mkuu
Tazama:
1.USA - Super Power yupo hapo
2.UK -yupo hapo
3.FR - yupo hapo
4.Saudi Arabia - yupo hapo
5.Israel -yupo hapo
wote hao wapo hapo kumvuruga Syria.
Tazama tena.
1.Russia
2.Iran
anayetetewa na Urusi na Iran hapo ni Syria.

Tazama idadi ya wavurugaji na watetetzi tazama sifa na uwezo wa kuichumi na kijeshi ya wavurugaji na watetetzi,utaona nani zaidi
 
"..The Russian state news agency TASS reported that a Russian IL-20 military aircraft with 14 personnel on board disappeared over the Mediterranean on Monday..."

"..The US found out about the incident because Syrian forces broadcast an emergency search and rescue radio call on an international frequency.."
Ehee! hatimae ushakuja,naona na kamanda Ze kukoyo naye katoka mafichoni kaja kusherehekea kuangushwa kwa ndege ya Urusi.Adui mwombee njaa.
 
Write your reply...@sexer putin ni boya au smart itajulikana mda si mrefu
Ishajulikana tayari ni boya, ni kama chadema kubariki siasa za cheyo hapa bongo afu hapo hapo hawajui hizo siasa za cheyo zinaweza tumika kutekeleza mambo ya ccm
 
Write your reply...@kokuyo,juzi hawakushambulia base ya iran,walishambulia international airport upande wa military wing,kwani kulikuwa kumetua Antonov ya iran inashusha mizigo waliyodhani ni ya jeshi,lakini ile ndege wali imiss na jioni ilirudi iran.
Kisha siku iliyofuata wakadai wanashambulia base ya iran kule Latakia,tukio lilopelekea kutunguliwa kwa ndege ya ELINT ya Russia,pale latakia hakuna base ya iran,labda walishambulia mbuga tu,kuna picha huko twitter za shambulio la damusca airport ikionyesha ndege waliimiss kwa mita chache,nadhani kuna mengine yalidunguliwa,
hakuna footage ya shambulizi la latakia mpaka saa hii,sasa sijui makombora yalidunguliwa yote ama ndo yaliangukia mbugani kama nivosema mwanzo,
jana usiku tena Antonov ya iran imetua damusca na kuondoka baada ya kushusha mzigo,inaonyesha mashambulizi ya israel ni useless,iran huwa hafanyi mashambulizi useless anapofanya kitu lazima kiwe na effect,ndo maana wanampigia mahesabu tu,siku kitu kikitua pale demona na utajua nilikuwa namanisha nini,
mashambulizi ya israel ni sawa na kimbao kakosana na sixpack,sasa kimbao anavizia sixpack kageukia huko hana habari ,kimbao ananyata na kumzaba banzi la bega sixpack kisha mbio,sasa siku sixpack amtie mkononi huyo kimbaombao na ataimba haleluya......
 
Ehee! hatimae ushakuja,naona na kamanda Ze kukoyo naye katoka mafichoni kaja kusherehekea kuangushwa kwa ndege ya Urusi.Adui mwombee njaa.
Hahaha Mkuu nakuja kuchungulia chungulia tu Mara moja moja
 
Back
Top Bottom