Haaa haaa haaa noma sana.... Watu wameunganisha waya... Upande wa pili Network jau wanatunguana wenyewe[emoji3][emoji23]
Hahahaha!!! Fundi usitake kuhamisha magoli hapa. Kiufupi mmejitungua wenyewe baada ya Myahudi kuwachezea rafuWamepika kama kama matokeo ya Arusha na tabata mkuu Ajali ya kawaida yaweza geuzwa kuwa ya kutunguliwa!
Ze kokuyo!
Sio vibaya kupika story ila hii imekata center bolt!
Fundi habari za kutoweka hiyo ndege iliripotiwa na RT 5hrs kabla ya CNN baadae kuconfirm kwamba Ndege imetunguliwa. Sasa Kama haijatunguliwa,ndege ipo wapi?!Duh
""The US found out about the incident because Syrian forces broadcast an emergency search and rescue radio call on an international frequency..""
Hapo ata wewe umepagundua ndio penye giza nene kama la mapango ya Amboni usiombe ukutane nalo !
Ngoja waje wanazi wa Kirusi. nasubiria.Ha ha ha. Itakuwa Israel alii-fake ionekane kama ya adui. Lakini tunaambiwa Syria anatumia advanced technology ya GPS kutoka Iran; vipi tena wanatungua dege la rafiki yao?
Hiyo ni akili ya ajabu sana! Jamaa ni akili kubwa kinoma!The Israeli pilots used the Russian plane as cover and set it up to be targeted by the Syrian air defense forces. As a consequence, the Il-20, which has radar cross-section much larger than the F-16, was shot down by an S-200 system missile,” the statement said. ....
Ha ha ha ha! Wamewapiganisha wenyewe kwa wenyewe! Dah! Noma sana Mkuu.Haaa haaa haaa noma sana.... Watu wameunganisha waya... Upande wa pili Network jau wanatunguana wenyewe[emoji3][emoji23]
Yote heriMbuzi wa Bwana Heri na amekula majani ktk shamba la bwana heri
watu wamepoteana angani huko, F-16 zilikuwa nne, ndege ya urusi ilikuwa moja tu lakin ikalengwa hiohio duuh! urusi wana haki ya kukasirikaHa ha ha ha! Wamewapiganisha wenyewe kwa wenyewe! Dah! Noma sana Mkuu.
Shoigu reiterated that Israel failed to notify Russia of the impending attack in a way that would have given its military an opportunity to move the Il-20 out of harm’s way. Instead, the warning came just one minute before the Israeli F-16 fighter jets launched their attack.