Hii iwe ni funzo kwa Russia kwa Ku play double standards uko Syria....Jana Syria ilishambuliwa ktk vituo vyake kadhaa cha kushangaza Syria iliweza Ku engage makombora yaliyorushwa na F-16 za Israel na Makombora toka ktk Manowari za France ktk maeneo ya Latakia jiran kabisa na Kituo kikubwa cha Kijeshi cha Russia.....France mapema Leo ikaruka kua haikuhusika na udunguaji wa ndege ya intelejensia ya Russia lakin walishiriki ktk kurusha makombora watu wengi wakimo wafaransa wameshangaa kwann nchi yao imehusika...Hii ni funzo kwa Russia kwa kuruhusu Israel afanye anachotaka uko Syria sasa kwa utoto huu Russia wamefikiwa japo Syria ndo ameangusha lakin alikua anapambana na Israel,France na zilikuepo ndege vita za UK zikiwa zimezima transponder ili zisiwe tracked! Russia wameilaumu Israel kwa uchokozi huu ilipelekea wanajeshi 15 na ndege ya Urusi kudunguliwa baharini....Putin ni very smart baada ya Turkey kudungua dege vita la Urusi Uturuki ikawa rafiki wa Russia... chochote afanyacho Israel uko Syria ana back up ya US,UK,France na Leo njama zao zimedhihirika na lengo ni Syria ichafuke iwe dhaifu kiuchumi na kijeshi atimae Urusi majeshi yake na vituo vyake viwe havina ulinzi ili aondoke.....