ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,418
- 9,599
Inashangaza...Ha ha ha. Itakuwa Israel alii-fake ionekane kama ya adui. Lakini tunaambiwa Syria anatumia advanced technology ya GPS kutoka Iran; vipi tena wanatungua dege la rafiki yao?
Wamepika kama kama matokeo ya Arusha na tabata mkuu Ajali ya kawaida yaweza geuzwa kuwa ya kutunguliwa!Not balanced story kwani Russia au Syria hawajaconfirm
Duh"..The Russian state news agency TASS reported that a Russian IL-20 military aircraft with 14 personnel on board disappeared over the Mediterranean on Monday..."
"..The US found out about the incident because Syrian forces broadcast an emergency search and rescue radio call on an international frequency.."
Wanafungua shampeni nowHii habar itakuwa imepokelewa kwa furaha sana pale MOSSAD HQ
Unadhani wanaweza kukiri hilo!? Labda ungenambia either Syria au Russia wamebisha habari hizi but wao kukiri makosa ya namna hi sio rahisi mkuu.Not balanced story kwani Russia au Syria hawajaconfirm
Duh kweli ni mbishi na una mahaba niue,Russia wenyewe wamekiri kuwa ndege imepotea ikiwa na watu14 ndaniHizi ndo propaganda za hali ya juu sasa. Hivi Dreamliner 787-7 ikipata ajali tutasema ni ndege ya Marekani imedondoka wakati Ethiopian airlines ndo wanaimiliki?
Ndege ni ya Syria ilinunuliwa toka Russia