Syria yatungua Ndege ya Urusi

Hahahaha...Mkuu acha kutusingizia bhana wakati hapa tupo Ubalozi wa Urusi me na Bi Nalendwa kutoa rambirambi zetu
Ni serious mkuu,

Sababu baada Syrian kuitungua ile ndege kwa manati, ndio tumekuona ukitoka kwa mafichoni na yule kibibi cha uganga mkiwa na furaha kubwa sana.
Sasa hilo pilau lenu kuleni tuu ila mtaliona chungu.
 
Notification iliyotolewa na Russia ni kuwa kutakuwa na no fly zone kwa ndege za israel kwa wiki moja ,ila ni kuwa ndege za israel zinaruhusiwa kuruka futi 19000 usawa wa bahari chini ya hapo watazilipua,undefinedBased on NOTAMs issued by #Russia|n Navy, if an #Israel|i fighter jet wants to fly out of #Israel& even attack #Syria, it must fly above 19,000ft. If flies below, it will be shot-down by Russian S-300F. But flying above 19,000ft will cause their shot-down by #Syria|n S-200s!
hio restriction itaaply sehem gani maana mara nyng waisrael hushambulia bila kuingia kwe airspace ya syria, ni mara chache sana huingia, so hizo futi zitaaply kwe international airspace au israel airspace? warusi wawatrain vizuri tu wasyria next time wasirudie hio mistake , urusi wanashndwa tu kuilaumu syria hadharani na wala sidhan km watakuwa kikwazo kwa israel kudeal na maslahi yake coz hilo sio lililoipeleka russia syria
 
Hate hiyo haitaizuia Israel kuishambulia Syria pindi wakitaka wapo na options kibao. Pia huko Mediterranean Kuna vikundi vya navy vimepaki huko kuanzia Russia yenyewe,Marekani (nasikia wamepeka mpk Submarine,Kama ile iliyotumika mwezi April kurusha Tomahawks na bila shaka itakua Ni Los Angeles class Sub),na nchi nyingine za NATO kama France,nk
yean shida jamaa walikua kwe int airspace huwez kumuwekea restrictions unless anahatarisha usalama wako, unajua russia lazima waoneshe msimamo kwe public but kimsingi syria walitakiwa kuwa makini zaidi km rada zao zilidetect videge km F-16 bila shaka walililidetect lile likubwa pia hvyo walikua wanafahamu kuwa hawa wadogo wametake cover........russia hawez toka akasema anailaumu syria kwa hili tukio lazima tu wailaumu israel....dah ila jamaa kufa wakati hawakuwa kwe combat mission ni jambo la kusikitisha kwa kweli urusi amepay sana price kwe issue ya syria, kuna wale thelathini na wakati ndege ikitaka kupaa latakia, wale tisini na walioanguka black sea wakienda syria x-mass then hawa 14 vifo vyote hvyon nje ya action, kwenye action huko hatujui maana kuna kpnd IS walichachamaa kushusha chopa hatari
 
Write your reply...@kokuyo,juzi hawakushambulia base ya iran,walishambulia international airport upande wa military wing,kwani kulikuwa kumetua Antonov ya iran inashusha mizigo waliyodhani ni ya jeshi,lakini ile ndege wali imiss na jioni ilirudi iran.
Kisha siku iliyofuata wakadai wanashambulia base ya iran kule Latakia,tukio lilopelekea kutunguliwa kwa ndege ya ELINT ya Russia,pale latakia hakuna base ya iran,labda walishambulia mbuga tu,kuna picha huko twitter za shambulio la damusca airport ikionyesha ndege waliimiss kwa mita chache,nadhani kuna mengine yalidunguliwa,
hakuna footage ya shambulizi la latakia mpaka saa hii,sasa sijui makombora yalidunguliwa yote ama ndo yaliangukia mbugani kama nivosema mwanzo,
jana usiku tena Antonov ya iran imetua damusca na kuondoka baada ya kushusha mzigo,inaonyesha mashambulizi ya israel ni useless,iran huwa hafanyi mashambulizi useless anapofanya kitu lazima kiwe na effect,ndo maana wanampigia mahesabu tu,siku kitu kikitua pale demona na utajua nilikuwa namanisha nini,
mashambulizi ya israel ni sawa na kimbao kakosana na sixpack,sasa kimbao anavizia sixpack kageukia huko hana habari ,kimbao ananyata na kumzaba banzi la bega sixpack kisha mbio,sasa siku sixpack amtie mkononi huyo kimbaombao na ataimba haleluya......
Acha fix...
 
Measure are been taken as we speak,Russia is establishing a no fry zone ove mediteraniaundefined#Russia|n Navy "Marshal Ustinov" (055) Slava-class guided missile cruiser which has 64 S-300F surface to air missiles is now sailing in #MediterraneanSeawaters NW. of #Israel. However it has blocked airspace over NW of Israel till FL190 but its S-300s are dangerous till FL900!undefined
DnctOQ2X0AAuxz4.jpg:small
Mikwala tu kama anaweza waliosababisha ndege yao kutunguliwa wanawajua wajaribu kurusha hata tunda ya ubuyu huko Israel alafu wataona kifuatacho....
 
Inakaa kama hapo mediteranian,warships are buildingup baada ya russia kufunga anga la mediterania na baadshi ya sehemu za israel,denmark,canada,marekani,germany,greece wote wako area,undefined#Russia|n Military Sources told me that however #IsraelPM. #Netanyahuhas convinced #Russiapresident #Putinthat the Il-20M shot-down was an accident, but the airspace around #Israelwill be blocked by 14 #RussiaNavy ships from FL000 to FL190 untill 26 September
Hakuna kitu kama hicho hivi unafikiri kulock anga ya nchi ingine unafikiri ni rahisi kama uvyosema... Basi huko Syria wasingekuwa wanapigwa kila kukicha
 
Hakuna kitu kama hicho hivi unafikiri kulock anga ya nchi ingine unafikiri ni rahisi kama uvyosema... Basi huko Syria wasingekuwa wanapigwa kila kukicha
undefinedRussian President Vladimir Putin’s response to the downing of the Il-20 by Syria was mild in tone, but his reference to a probe in depth and extra security for Russian troops was coldly menacing.undefinedOn Tuesday, Sept. 18, Putin took a call from Prime Minister Binyamin Netanyahu, who expressed regret for the loss of 15 Russian military lives aboard the plane downed over the Mediterranean on Monday and held Syria responsible. Putin had just attributed the misfortune to a “chain of tragic circumstances,” without blaming Israel – in contrast to his Defense Minister. Gen. Shoigu, in a harsh telephone call to his Israeli opposite number, Avigdor Lieberman, said that 15 Russian military service people had died because of Israel’s “irresponsible actions.”undefinedThis was a bit like a good cop, bad cop routine, except that behind it Putin and Shoigu had almost certainly agreed on the need for hard-hitting measures to curtail the Israeli Air Force’s freedom of operations in and near Syrian skies. Most alarmingly, even though the plane was shot down by a Syrian missile, Israel appears to be in line for a diplomatic clobbering as well, judging by the ominous official comments coming from Moscow on Wednesday: The Russians are launching acriminal probe into the crash, according to an announcement by Russia’s Investigative Committee spokeswoman Svetlana Petrenko. Who is the criminal and what is the crime? That announcement was followed by a tart remark from Kremlin spokesman Dmitri Peshkov that “Israeli data on the Il-20 crash in Syria has not yet arrived.” He added that the Russian president and Israeli Prime Minister had agreed that a delegation of experts led by the Israeli Air Force commander would visit Moscow and bring with him data referring to the circumstances of the crash. “Our experts will certainly study it,” he said.undefinedThe exact military measures to be taken by Moscow are still to be determined, but an approximate precedent may be indicative. Three years ago, Turkish fighter jets shot down a Russian Su-24M over the Syrian-Turkish frontier, triggering a major crisis between Moscow and Ankara. One of the pilots was killed and the second rescued by Russian special forces. Moscow responded by rushing over theMoskvamissile cruiser, armed with S-300F air defense missiles (NATO code: SA-N-6 Grumble), to the waters of northern Syria and southern Turkey. Advanced S-400 anti-air batteries were shipped to the Russian Khmeimim Air Base in Latakia. These measures gave Ankara due notice that any Turkish planes venturing into Syrian air space henceforth did so at their peril.undefinedAnd indeed, up until the present, the S-400s are still in place and the Turkish air force gives Syrian skies a wide berth – excepting only the Afrin enclave north of Aleppo which the Turkish army seized earlier this year.undefinedNone of this interfered with the efforts of the Russian president and Turkey’s Tayyip Erdogan to build a coalition with Iran for Syria, while pretending that Moscow-Ankara relations were in perfectly good working order.undefinedPutin may therefore keep his relations with Netanyahu as cordial as ever before, while, at the same time, we may soon see, in the aftermath of the shooting down of the Ilyushin by Syrian missiles, the arrival in Syria for the first time of Russia’s most advanced air defense and radar systems. Of most concern to Israel is the possible installation of those systems on Tel al-Haara, a peak rising 1,100 meters over Quneitra, which commands Israeli air space over the Golan and its northern regions, as well as northern and central Jordan and the eastern Mediterranean. Advanced Russian fighter jets may also be posted to Khmeimim to waylay Israeli warplanes.undefinedIn some ways, the Il-20 incident and these new measures have come at a convenient moment for the Russian deployment in Syria.
undefinedundefined
 
Nyie fungeni tu ilo anga muisrael bado ataingia kwnye iyo No fly zone na kipgo bado ata kitoa yaaana
Tabu bado ipo vile vile mji andae tu kisaikolojia

"Reserve this comment tafadhali ewe msemaji wa Kremlin"
 
Mkuu wa jeshi la anga la Israel na mashushu kadhaa wa IDF leo wanaenda Moscow kujitetea.
rt.com
 
Mkuu wa jeshi la anga la Israel na mashushu kadhaa wa IDF leo wanaenda Moscow kujitetea.
rt.com


Hahah!, eti kujitetea.

Putin kawazima hao walala mishi. Na ni kweli IDF hawajadondosha hii kitu lakini inaonekana anarusha dongo kiana na kwa upole..
 
Tatizo la Sexer ni uelewa mdogo wa haya mambo wala msilaumu,yeye anajua hapa ni kama tunashabikia yanga na simba,wakati kuna maisha ya mamilioni ya watu yanahusika hapa,undefinedPutin anajua wazi akireact kwa kukurupuka ndo mwanzo wa vita kuu,sasa anatumia akili sana,anajua hawa wamagharibu wana Ego ambayo haijali thamani ya maisha ya watu,mfano tu syria wangeangusha ndege ya marekani,saa hizi damusca ingekuwa majivu na wangeendelea kuhubiri democracy bila kujali wameangamiza watu wangapi,hili haliingii akilini kwa huyu @sexer,yeye kwa uelewa wake anafikiri hili ni suala la ushabiki,Russia watarespond lakini sio kama anavyodhania yeye
Wewe jamaa una akili sana
,watu wanadhani Putin ni mjinga,ni kweli ulivyosema,anajiepushasana na vita isiyo na kichwa wala miguu,na wameshamjua kua ana nidham hiyo hivyo wanafanya wanachotaka.
 
Hate hiyo haitaizuia Israel kuishambulia Syria pindi wakitaka wapo na options kibao. Pia huko Mediterranean Kuna vikundi vya navy vimepaki huko kuanzia Russia yenyewe,Marekani (nasikia wamepeka mpk Submarine,Kama ile iliyotumika mwezi April kurusha Tomahawks na bila shaka itakua Ni Los Angeles class Sub),na nchi nyingine za NATO kama France,nk
Ma nchi yote hayo kwa nchi moja tu huoni kama ni udhaifu mkubwa.
 
Hizo ni hisia zako, Ila Putin ni boya kama kweli hana noma na Israel kushambulia Syria na huko iko wazi israel=US, kwa hiyo hapo no sawa na kusema Russia hana noma na US kushambulia Syria wakat hapahapo yeye anaitetea Syria na watawala wake, yaani hapo hats ukisema US ndo kashambulia ndege ya Syria ni sawa tu. Sasa bado hujaona tu Putin ni boya
Jarida la Forbes huwa halisemi uongo juu ya nguvu ya Putin kwenye sayari hii.kuwa ni most influential man in the world.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom