paka hotel
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 314
- 405
Aljazeera wanasema ni mbili zimeangushwaItakua zimeangushwa zaidi ya moja
Aljazeera wanasema ni mbili zimeangushwaItakua zimeangushwa zaidi ya moja
SafiAljazeera wanasema ni mbili zimeangushwa
Hakuma mwenye hati miliki na Uzi mkuu, Hatuwezi kupata marifa tukikwazana kama vile tupo kwenye siasa za mwendo kasi!,Naona uzi umekua wako mkuu, unaleta update kuliko alieleta uzi, unaonekana umeumia sana mkuu, poleni bana ndio maisha, ata tajiri anapata misukosuko mda mwingne mkuu, hahahahah
Amempuliza mbwa kwenye makalio sasa zita dunguliwa kama njiwa hadi sasa Israel amesha kunja mkia kama mbwa muoga !!!Ndo nimeona hii ase, tatizo ni kuwa huyu mu Israel asije kulikuza hili likawa kubwa kuliko..
Hawawez kusema ukwel lazima wafiche ficheItakua zimeangushwa zaidi ya moja
Usicheze na Israeli wewe...wale jamaa kwenye ulinzi wa Taifa lao achana nao kabisa. Nakuhakikishia haifiki mwezi wa 6 watashambulia tena Syria. Hifadhi hii comment utaikumbuka.Wameisha ona mchezo wa Syria kuwawachia kila mara umeisha. Mchezo wa zamani umeisha, piga Syria afu wakuwachie the game is over. Israel hajui lugha isipokuwa ya nguvu. Hasubuti tena kwenda kushanbulia Syria.
Kabsaa, na umeona mziki waondio mwawaita wateule hao...!
Go IsraelDawa ya moto ni moto. Go syria, go..
Watalipiza x100Habari zinasema israel imeshambulia target 12 ndani ya syria,akitarget majeshi ya iran,watakua wana maanisha hezbollah,
uwanja wa ndege wa israel Ben gurion umefungwa kwa kuhofia mashambulizi ya makombora toka syria,
Netanyau yuko IDF HQ kujadiliana na makamanda kuhusu masahibu yaliyowakuta kufuatia uchokozi wa syria kutungua ndege yao,
Mnazalisha maiti zaidi kwa kugombea maiti moja! Ujinga!Hezbollah na Israeli vita yao huwa inapoa tuu miaka kadhaa wanaanzisha tena..nakumbuka ishu ya Hezbollah kugoma kutoa maiti moja ya mwanajeshi wa Israel mpaka Israel alianzisha vita ili kupata hiyo maiti wapi hakufanikiwa wanajeshi wa Israel na Hezbollah walikufa wengi tuu mpaka wakaamua kusitisha vita watoe maiti na wao wapewe mateka walio jela nadhani vita yao haiishi leo wala kesho...
Kawaida yao ila ukweli utabaki pale pale kilichowapata jana wanaona aibu saivi Nchi nyingi zimefurahi kwa kupigwa konzi kwa viherere vyaoHawawez kusema ukwel lazima wafiche fiche
Ujumbe mzitoHii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?
Umeona mrejesho wa Israel au bado? Wanajeshi wao wawili walipona ila kipigo alichopewa Syria wanasema hakijatokea kwa miaka 30 iliyopita. Mshindi nani?Dawa ya moto ni moto. Go syria, go..
Habari njema sana hii. Tupe source Mkuu. Ok, are hereUmeona mrejesho wa Israel au bado? Wanajeshi wao wawili walipona ila kipigo alichopewa Syria wanasema hakijatokea kwa miaka 30 iliyopita. Mshindi nani?
Huyo ni mgonjwa msameheYaani kabisa unaamini US anashindwa kuisambararisha Syria?