Syria watungua ndege ya Israel

Syria watungua ndege ya Israel

Ni breaking news,asubuhi na mapema leo drone kutoka syria iliingia anga la golan inayokaliwa na israel,kutafuta waasi wa syria.
Israel wakaitungua,na pia wakashambulia uwanja wa ndege wa T-4 ilipotokea drone.
Syria wakafyatua makombora ya kutungulia ndege na kuipiga ndege ya israel ambayo imeangukia israel japo ruban kapona japo majeruhi.
Israel wanalipa kisasi mida hii wanashambulia damusca na syria wanajibu mapigo kwa kufyatua makombora kuelekea golan,

developing story
Unapigwa kwa target halafu wewe unajibu kwa kuvurumisha hovyo makombora,
Ukiitwa muoga unakataa,
Waarabu bana
 
Hii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?
Mhh basi makombora yao balaa,
Yani yanaisukuma ndege kurudi nyuma mpaka ndani ya mipaka ya Israeli halafu yanailipua lkn yanabagua hayaui rubani,
Tekinolojia ya kisasa kabisa
 
Ingekua rahiz hvyo mmarekan angekua ameishaimaliza syria lkn mpk leo ni zaid ya miaka 6 bado wanapigana tu hapo ndo wanasaidiana na mataifa makubwa yote dunian kuipiga syria
Aisee kumbe marekani wanapigana Vita na Syria ee,
 
UPDATES:

Mpaka sasa Israeli imeshambulia air defenses tatu pamoja na maeneo mengine 9 yanayosadikiwa ni kwa ajili ya shughuli za kijeshi za Iran.

Syria wakajibu kwa kurusha makombora ya ulinzi karibia 24
6c985fb331b9d085f941f28bf04273d7.jpg

Russia imesema kwamba inataka pande zote kutulia huku ikisisitiza Uhuru wa Syria lazima uheshimiwe

Marekani imepongeza msimamo wa Israeli dhidi ya Iran na makundi yake ambayo inayaunga mkono.

Wakurdi nao watungua helicopter ya Uturuki na Erdogan amesema yeyote atakaehusika atalipa gharama kubwa

PS: Kwa taarifa za sasa zinasema kwamba asubuh Syria walirusha makombora 10 dhidi ya ndege 2 za Israel Ila moja ilianguka baada ya Rubani kueject (japo haijajulikana alieject kutokana na hayo makombora au nini). Jeshi la Israel limesema kwamba kuna vitu rubani alikosea vilivyofanya kushambuliwa kirahisi kwa ndege yake huku ikionya kwamba Iran na Syria zinacheza na moto

Elungata Bujibuji Root Baazigar dudus fundi25 Nalendwa
 
nadhani ameileta kwa sababu wewe huwezi kuileta habari kama hii

Anyway inakuaje ndege yetu pendwa na bora inaangushwa na defense system za Syria..?, Syria kabisa..!!
[emoji23] yani kutungua ndege ya miaka ya 1970 ni kitu Cha kujisifu kweli!!!! Tena hiyo ndege imekua ikishambulia Mara kwa Mara...Halafu mnajisifu wakati ndege moja imeirushia makombora 10 utafikiri mlikua mnaua Simba vile
 
Hii ni issue ya kitoto sana kwa Israel. Kipigo watakachokipata magaidi na wafadhili wao watajuta uchokozi wa kitoto walioufanya. Eti makombora yamelenga ndege, ikadondokea Israel, na rubani hajafa au kukamatwa. That alone gives you a clue uwezo wa hawa jamaa. Wakati nyie mnapeleka binadamu forefront kujilipua, wao ni protection ya life ya watu wao kwanza. Hamuoni tafauti?
we ndo msemaji wa jeshi la israel?
 
[emoji23] yani kutungua ndege ya miaka ya 1970 ni kitu Cha kujisifu kweli!!!! Tena hiyo ndege imekua ikishambulia Mara kwa Mara...Halafu mnajisifu wakati ndege moja imeirushia makombora 10 utafikiri mlikua mnaua Simba vile
Hapana usilazimishe kunijibu ambacho sijauliza mkuu, swali langu lilikua hivi inakuaje ndege yetu pendwa inadondoshwa na defense system tena za Syria..?, tena ndege imayotumiwa na Israel katika mashambulizi ya adui zake,

kutengenezwa 1970 sio shida, kama zingekua zimechoka wangezitoa katika uwanja wa vita, kwani Syria anatumia defense system zilizotengenezwa 2010..?
 
Kwani kazi ya air defense ni Nini!? Si kutungua ndege na kulinda Anga!? Sasa hapo Cha ajabu kipi!?
 
UPDATES:

Mpaka sasa Israeli imeshambulia air defenses tatu pamoja na maeneo mengine 9 yanayosadikiwa ni kwa ajili ya shughuli za kijeshi za Iran.

Syria wakajibu kwa kurusha makombora ya ulinzi karibia 24
6c985fb331b9d085f941f28bf04273d7.jpg

Russia imesema kwamba inataka pande zote kutulia huku ikisisitiza Uhuru wa Syria lazima uheshimiwe

Marekani imepongeza msimamo wa Israeli dhidi ya Iran na makundi yake ambayo inayaunga mkono.

Wakurdi nao watungua helicopter ya Uturuki na Erdogan amesema yeyote atakaehusika atalipa gharama kubwa

PS: Kwa taarifa za sasa zinasema kwamba asubuh Syria walirusha makombora 10 dhidi ya ndege 2 za Israel Ila moja ilianguka baada ya Rubani kueject (japo haijajulikana alieject kutokana na hayo makombora au nini). Jeshi la Israel limesema kwamba kuna vitu rubani alikosea vilivyofanya kushambuliwa kirahisi kwa ndege yake huku ikionya kwamba Iran na Syria zinacheza na moto

Elungata Bujibuji Root Baazigar dudus fundi25 Nalendwa
Hawa nao wanatuchora tu sababu hawawez kusema tumetunguliwa, eti rubani kuna vitu alikosea..!!

pia rubani ana eject akiona hali si shwali, akiona hawezi kusurvive before ajatunguliwa au akishatunguliwa, hizo zingine porojo tu
 
Kwani kazi ya air defense ni Nini!? Si kutungua ndege na kulinda Anga!? Sasa hapo Cha ajabu kipi!?
sasa na wewe kwani unasema tunafurahia kutungua ndege ya 1970 utafikir Syria katumia Defense system ya 2010 kutungua io ndege..!, huyu anatumia ndege ya zamani na huyu anatumia defense system ya zamani, hakuna shida kabisa
 
Hawa nao wanatuchora tu sababu hawawez kusema tumetunguliwa, eti rubani kuna vitu alikosea..!!

pia rubani ana eject akiona hali si shwali, akiona hawezi kusurvive before ajatunguliwa au akishatunguliwa, hizo zingine porojo tu
Sasa nyie mnarusha makombora 10 kwa ndege 2 Kama mnaua nyati asieject mchezo.

Wenzenu wenye uhakika na ufanisi wa air defenses mwisho ni makombora mawili tu
 
Sasa nyie mnarusha makombora 10 kwa ndege 2 Kama mnaua nyati asieject mchezo.

Wenzenu wenye uhakika na ufanisi wa air defenses mwisho ni makombora mawili tu
Nyie kina nani,..? hapana mm sijarusha makombora, sema wao, mm niko Tanzania

Hatuzungumzi makombora 10 kutumika,tunazungumzia F15 kudondoshwa na Syria, haijalishi ata kama yangekua 100, tusubiri adhabu atakayopewa Syria kama ulivosema awali
 
Nyie kina nani, hapana mm sijarusha makombora, sema wao, mm miko Tanzania

Hatuzungumzi makombora 10 kutumika,tunazungumzia F15 kudondoshwa na Syria, haijalishi ata kama yangekua 100, tusubiri adhabu atakayopewa Syria kama ulivosema awali
Tusubiri Mara ngapi wakati had sasa air defenses tatu zimeshaharibiwa
 
Habari ambayo haipo youtube nachukulia kama ni habari ya kizushi

Israeli Air Force General: Syria Strike Is the Most Substantial Since 1982
Brig. Gen. Tomer Bar says the Iranian drone was an advanced, low-signature model Israel has never before captured

Brig. Gen. Tomer Bar, second in command of Israel's Air Force, said Saturday that the Israeli strike in Syria Saturday morning – after an Israeli F-16 was shot down – was "the biggest and most significant attack the air force has conducted againt Syrian air defenses" since the 1982 Lebanon War.

The Israeli military said it has struck 12 targets in Syria, which included four Syrian air-defense battaries and four Iranian sites after the F-16I crashed. The fighter jet was one of the planes sent to attack in Syria in response to the drone incursion earlier on Saturday.

Bar also said the Iranian drone that was shot down by an Israeli helicopter was an advanced model with a low signature, and was captured. "It is a significant achievement to have such an advanced drone," he said, "and the first time we managed to put our hands on one."

In response to the incursion by the drone early Saturday, Israeli aircraft stuck Iranian targets in Syria, with a barrage of Syrian air-defense missiles bringing down an Israeli F-16 over Israel. Following the downing of the Israeli fighter jet, Israel said it carried out "large scale strikes" in Syria targeting Syrian air-defense batteries and four Iranian sites.
 
More Updates

IDF wametoa video inayoonyesha drone ya Iran ikiingia kwenye Anga la Israel na Israel kuidungua....

Pia ikionyesha jinsi Israel ilivyoshambulia kambi ya jeshi inayoamimika kwamba hiyo drone ndo imetoka
6bf6cd53120dc186c21cc08fd603c134.jpg

Na mpaka sasa air defenses nne za Syria zimeharibiwa pamoja na sehemu nyingine za kijeshi za Iran na Syria
 
Back
Top Bottom