Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
vipi unaweza kuweka kwa maandishi maana wengi hii kitu haifunguki
Mwanakijiji,
Mkuu mbona sijaona kitu>?
Shukrani Mkuu kwa kazi nzuri na Dr.Slaa kwa majibu mazuri na ya kina.Dr.Slaa Ana kila sifa ya kua kiongozi.BRAVO!!Nasikiliza sasa. Asante Mzee Mwanakijiji, hii ni kazi kubwa umetufanyia!
Hivi ataongea kipi cha maana zaidi ya ufataani?,
Nope!!NI kweli watu hawajasikia kauli ya Dr. Slaa kuhusu Tarime kwenye hii episode...?
Hii ni kweli ama kujisafisha kwake baada ya kununua mitambo ya DowansKampuni ya Symbion Power katika mchakato wa kufua na kugawa umeme Wafanyakazi wa Symbion Power wakiwa katika mazoezi wakati wa mafunzo ya utaalamu wa umeme kwenye chuo cha kampuni hiyo ya kufua umeme toka Marekani Kilichopo mkoani Morogoro kwa kushirikiana na kampuni ya Pike. Kabla hata ya kununua mtambo wa Dowans kampuni hiyo ilikuwa inatoa mafunzo kwa wafanyakazi wake, na imepeleka watatu huko Idaho, Marekani, kupata mafunzo ya juu ili kuja kuwafundisha wenzao hapa nyumbani Tizi la kuning'inia kwenye nguzo za umeme Mafunzo ya kusimika nguzo za umeme Mafunzo ya kuweka nyenzo za umeme kwenye nguzo Mtaalamu wa kampuni hiyo akiwapa maelezo kundi la wanahabari lililozuru chuo hicho mjini Morogoro Jumatatu Dada Agnes ni mwanamama wa kwanza wa kampuni hiyo kupata mafunzo ya Symbion/Pike Dada Agnes katika mafunzo
Symbion Power
Symbion ni Shirika la uhandisi la kimataifa na ni wakandarasi wenye mbinu za kipekee katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya Umeme. Ikiwa na dhamira thabiti ya kuiwezesha jamii husika, Symbioni inaunganisha maarifa na ujuzi katika kufanikisha kazi zake katika mazingira yenye changamoto kubwa za ujenzi duniani.
Shirika la Symbion lilianzishwa mwaka 2005 kwa ajili ya kuunda, kununua na kujenga miundombinu ya Umeme iitwayo Turnkey ambayo kwa lugha ya kitaaluma hujumuisha njia za Umeme yaani Transmission lines, Substations, Switchyards na thermal power plant.
Hivi ataongea kipi cha maana zaidi ya ufataani?,