But still, what exactly is your point, bro? Lets say, okay, Symbion Power watazalisha hizo 120MW (and ultimately up to 130MW as per PP agreement with Tanesco.) And then what happens next? Please be more specific as to elaborate the kind of post-scenario(s) you're trying to allude to in your post.
Kwa nini inakuwa ngumu kwa TANESCO ambalo ni shirika la serikali kununua mitambo yake badala ya kutegemea umeme wa kuuziwa na kina dowans?
Mbona unamuuliza maswali ya kumpa ujiko? halafu kama unamsaidia kumalizia majibu?
Ulisahau kumuuliza kuhusu mshahara wake au ulifanya makusudi?
Ahasante mwanakijiji kwa mahojiano haya muhimu. Hotuba haifiki mwisho, au technology haijakomaa kwa mimi. Nimesikiliza lakini ikaishia njiani. What next plse, if anyNimepata nafasi ya kuzungumza na Dr. Slaa siku ya Jumapili juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini na hasa juu ya ziara waliyomaliza huko Nyanda za Juu Kusini. Pamoja na mengine mengi nilitaka ufafanuzi wa kauli yake juu ya kuondolewa kwa uongozi kabla ya muda kuisha na sakata ambalo wakati ule lilikuwa tayari limeshaanza kufukuka huko Nyamongo, Tarime. Mahojiano hayo yatarushwa kwenye posti hii muda si mrefu ujao.
Jaribu kudownload au kusikiliza kutokana na limitation ya bandwidth kuna limited number ya watu wanaoweza kudownload kwa siku; so first come, first get..
SIKILIZA HAPA
mshahara wake unanihusu nini? mbona majibu yalishatolewa sehemu nyingine au ulitaka nirudie for the sake of kurudia; na ningeuliza hilo ungesema "mbona hujauliza kuhusu x,y"... wengine wanaweza kumtafuta kumuuliza yote ambayo mimi sikuwa na interests nayo kuuliza.