Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,445
Nyota ya jaha kwangu! Ngoja nifanye formalities za kuonana na Paul H nipate kusimamia angalau mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 200....kufa kufaana wakuu!!
Huko mkitaka mchakachajuaji wa kupuliza kopmyuta vumbi nitafute . teh teh teh teh Kila komyuta Preventive maintance ni 150,000 Tsh teh teh teh Tugawane utajiri
BTN
At last Naona Lowasa is a winner by small margin . Tumezuuuunguka weeeeee tumerudi pale pale kama duara. Hii symbion Lowasa ataitumia kama refence kuwa ilikuwa ni wivu tu. kama kungekuwa na kosa basi serikali isngeubali kufanya business na kampuni amabayo imejihusisha na biashara chafu.
Kama Symbion wamepata dili then ni kujinyonga. Sasa sijui ni serikali inaizunguka TANESCO au TANESCO haina jinsi na uwezo wa kutafuta Inverstor wengine