Symbion Power acquires DOWANS Power plant

Symbion Power acquires DOWANS Power plant

hizo CV zinajieleza symbion ni majasusi hasaaa!, tunauza uhuru wetu kidogo kidogo! USALAMA WA TAIFA MPOOOOO?!!, FANYENI KAZI YENU MSIKALIE KUCHEZA POOL

Ujasusi wao unawasaidia wao na nchi zao, kuna ubaya hapo? wamejasusi wakaona huku hakuna umeme wacha twende tukatengeneze fedha. Wewe ulifikiri kazi za ujasusi ni nini?
 
Kuna watu humu, JK hata afanye nini, kwao ni makosa tu, sababu? ni dini yake! ngoja mwenzao (wa dini yao) afanye hata "ushuzi" kwao ni mwema tu. Huo ndio ukweli usiopingika. Kwa nini? kwa kuwa wameshadanganywa (brain washed) na wajinga wenzao.

Tusitafune maneno, tuweke wazi tu, chuki na inadi kwa Kikwete za nini kama si dini yake?

Hili sikubaliani na wewe, JK alipata sweeping and whooping 80percent ya all votes 2005, na majority ya TZ ni wakristo, JK ndio alikuwa kipenzi chetu wakati ule...

Kumbuka uchaguzi wa 2000 kama sijakosea mkristo mwenzetu Mkapa hakufikisha hizo percentages za Kikwete

Kinachopigiwa kelele ni baada ya kuingia madarakani amekumbatia mafisadi na kugeuza ikulu 'such a cheap place' ikulu ina heshima yake, sitajali hata ajaye akiwa muislam ninaangalia rekodi ya utendaji wake

Ni vyema tukiangalia mtu kwa matendo yake na si udini wake...JK ana mema yake lakini hayo mabaya yamevuka mipaka wala sina haja ya kuyataja hapa hata mtoto mdogo anajua na si kwasababu ya dini

Kuna wakati mada zinaanzishwa huku kupinga walokole feki, au mapadri wanaofanya vitendo viovu na hakuna mkristo anayepata jazba kwani kama kweli mtu kakosea asijifiche kwenye udini, juzi nimeona mada ya mdada aliyekuwa stoned to death kisa kagombea umiss, badala ya kucondem wengine wakasema hoja ya udini imeletwa

All am trying to say is; as adults tusichangie kwa kejeli, au jazba au generalization, kama kweli mtu amefail kurudisha nuru aliyokuwa nayo before because of loops in his leadership, tukemee hilo na si kabila ua dini yake, hayo ni mawazo mfu

My 2 cents
 
Hukumbuki wakati huo kanisa lilisema ni chaguo la mungu? au mungu wa kanisa hajui "future"?
 
Kwa hali ilivyo rais wangu wa macho anaijua vema Richmond,dowans na syimbion na zaidi rais wangu wa macho ni mfanya biashara haramu akitumia mgongo wa magogoni!!
Nashauri rais wangu wa MOYO Dr Slaa atuongoze wazalendo kumuondoa huyu mwanakharamu pale magogoni!!
 
Hukumbuki wakati huo kanisa lilisema ni chaguo la mungu? au mungu wa kanisa hajui "future"?

Hiyo ni kauli ya kanisa kwa niaba ya hao waliompendekeza, lakini kwangu mimi niliona anafaa na sikuuona udini wake, kwani wakati wa Mwinyi kulikuwa na kauli za kanisa ?

Tafadhali tusisukumie udini kwenye kila kitu, na hata hiyo kauli ya kanisa sidhani kama vijijini waliisikia seuze mimi hapa mjini sikuisikia

Tukubali as a president ameonyesha mapungufu mengi na ndiyo anayowajibika kwayo, si suala la dini yake, that was never the agenda
 
Kwa hali ilivyo rais wangu wa macho anaijua vema Richmond,dowans na syimbion na zaidi rais wangu wa macho ni mfanya biashara haramu akitumia mgongo wa magogoni!!
Nashauri rais wangu wa MOYO Dr Slaa atuongoze wazalendo kumuondoa huyu mwanakharamu pale magogoni!!

Utamuona hivihivi mwana mwenzio! Looo, hasidi mkubwa wee, huyo rasi wako atabaki kuwa wako tu na si wetu.
 
Hiyo ni kauli ya kanisa kwa niaba ya hao waliompendekeza, lakini kwangu mimi niliona anafaa na sikuuona udini wake, kwani wakati wa Mwinyi kulikuwa na kauli za kanisa ?

Tafadhali tusisukumie udini kwenye kila kitu, na hata hiyo kauli ya kanisa sidhani kama vijijini waliisikia seuze mimi hapa mjini sikuisikia

Tukubali as a president ameonyesha mapungufu mengi na ndiyo anayowajibika kwayo, si suala la dini yake, that was never the agenda

Kwa hiyo unakubali kuwa mungu wa kauli ya hilo kanisa alikuwa haijuwi future au sio?

Loooh, kama hujasikia kauli hiyo ya kanisa, utayasikia ya wakati wa Mwinyi?

Ni nini mapungufu yake zaidi ya uchapa kazi wake? niwekee mapungufu yake tuyachambuwe, mimi nakuambia pungufu lake kubwa ni dini yake, wewe niwekee uyajuwayo tuchambuwe.
 
Thanks mz Foxy, sidhani kama kuna haja ya kusema'Mungu wa hilo kanisa haijui future' si vyema kubeza dini za watu,aliyetamka ni mwanadamu, tusimuingize Mungu ninayemuamini kuwa haijui future kwa tamshi la mwanadamu kama mimi mwenye mapungufu ya kila aina

Mapungufu mengi ya JK yameainishwa tena kwa kina kwenye thread za nyuma sana siwezi kuzisearch kwani natumia mobile.

Tutumie busara tunapojadili dini za watu mradi sijakukwaza kwenye imani yako, wewe pia don't go out of ur way to belittle mine just because u don't believe in it, ni uungwana tu.
 
soma vizuri ulipondua hicho kipande na kukibandika hapa. Symbion wamenunuwa mitambo ya dowans ambayo ni mobile na inaweza kupelekwa kokote duniani kwenye projects zao zingine, na watawapa proposal tanesco, kama wataikubali hiyo proposal wawazalishie umeme kwa mitambo ambayo ipo hapa hapa na iko in order. Kama hawataki symbion wataichukuwa hiyo mitambo wapeleke kwingine, sasa kuna tatizo lipi hapo?

Sikiliza nyinyi, msiwe wafinyu wa kufikiri, hiyo mitambo ni ya kuzalisha umeme na symbion ni makandarasi wa shughuli zinazohusu umeme na wana projects hapa tanzania na kwingine duniani. Ikiwa tanesco watakataa hiyo proposal ya symbion, tanesco watakuwa ni mapunguani namba moja duniani.

Na iwe ni symbion au kampuni yoyote ingine duniani haiwezi kukupa bidhaa zake bure, kama unaweza kaunde zako.

wewe ni bonge la **** pamoja na huyo raisi wako jinga!
 
Thanks mz Foxy, sidhani kama kuna haja ya kusema'Mungu wa hilo kanisa haijui future' si vyema kubeza dini za watu,aliyetamka ni mwanadamu, tusimuingize Mungu ninayemuamini kuwa haijui future kwa tamshi la mwanadamu kama mimi mwenye mapungufu ya kila aina

Mapungufu mengi ya JK yameainishwa tena kwa kina kwenye thread za nyuma sana siwezi kuzisearch kwani natumia mobile.

Tutumie busara tunapojadili dini za watu mradi sijakukwaza kwenye imani yako, wewe pia don't go out of ur way to belittle mine just because u don't believe in it, ni uungwana tu.

Sawa, kumbe yalikuwa ni maneno ya binadam, nakubaliana na wewe. Nilifikiri ni muono wa kutoka kwa mungu. Kwani ni kauli kubwa sana kumsingizia mtu kuwa ni chaguo la mungu hususan ikitoka kanisani. Wengi huamini waambiwayo na mapadri/wachungaji, nimefurahi wewe kukubali kuwa zilikuwa ni porojo za kibinadam tu na si kauli ya mungu.

Kwa hiyo wewe binafsi hujui pungufu lake lolote mpaka uka serach yaliyoandikwa na watu wengine au sio? sasa kama huna pungufu lake unalolijuwa na mimi nnakuleza kuwa ni dini yake kwa nini unakataa langu na ukubali ya ku search humu JF?

Kama huna au hujui pungufu lake, kuwa mkweli wa nafsi yako kuwa hana hayo mapungufu, mwenye mapungufu ungeyajuwa na usingesubiri ku search. Huo ndio ukweli.

Kuhusu ya dini kama nimekukwaza naomba nisamehe, mpaka leo sijaona mapungufu yake zaidi ya watu wasio wa dini yake kujaribu kumshushia hadhi yake na ndio panaponifikisha kusema kuwa pungufu la Kikwete ni dini yake na si zaidi ya hilo. Kama unalo zaidi ya hilo bado una fursa ya kufikiri na kulileta tulijadili.
 
Thanks Faiza

Binadamu woote wana mapungufu, na si kila unachoambiwa na mchungaji au padri ndicho unatoka nacho kama neno la mwisho maana ukiambiwa lazima pia usome na neno likuongoze, nasema sio kila kitu kwani wao ni viongozi wa kiroho

Mapungufu yake nitayafungulia thread na yale yaliyoandikwa humu yanatosha sana tu, kuhusu udini mimi siuoni kwani anachangamana na dini zote

Weakness; hajui Kagoda ni nani..hajui meremeta ni nani..( We know he knows..u may try to defend this but I won't even come back to say anything abt it again )

Weakness: he has failed to inject into power generation after the 45MW which he inherited from the 3rd regime...his counterparts in EA are surpassing us and by far

Weakness: he doesn't know why TZ is poor !

Weakness: he has failed to take a stand and kuwawajibisha wale waliokosea na kuwaomba wang'oke wenyewe e.g Msabaha et al

Mengine wengine wataongezea
 
Faiza hivi kuna post yoyote yenye kukosoa utawala huu wa rais wa macho uliyowahi kuiunga mkono tangu ujiunge jf hatakama inaukweli?
Nakushauri usifanye kazi uliyotumi bila kushirikisha akili yako mpaka kila mtu akatambua kuwa wewe umetumwa!!! Fanya kazi huku ukijua kuwa taifa hili ni letu zote!! Matokeo ya utawala wa rais wa macho kila mwenye macho anaona na wewe ukiwemo! Inawezekana wewe binafsi hutaathiriwa/hujaathiriwa na matokeo ya Richmond,EPA,Kagoda,Meremeta,Iptl,mauaji Tarime,Mauaji Arusha. Lakini nakuhakikishia kuwa athari za hayo hazitasha leo au kesho!
 
Angalau hawa wamarekani wanayo physical adress ,na kampuni inajulikana ......ss tusubiri hadith za hawa wanasiasa wetu waweke chao cha juu

Kwani richmond haikuwa Kampuni ya nchi gani.................Mimi nashangaa hivi kampuni gani ya mfukoni ambayo mitambo yake imeuzwa na walionunua wametumia hiyo hiyo, na wengine wakataka kuitafsisha na hatimae wengine wanainunua, kama kampuni hiyo ilikuwa ni ya mfukoni je kampuni gani sasa ambayo itakuwa ya kweli?
 
Natokea wilaya/mkoa Ilala.
Du, FaizaFoxy, are you for real ? Kwa mbali naona dalili fulani fulani katika majibu yako lakini loo unavyomtetea huyo bosi wa mafisadi inaanza kutia shaka na kuonyesha mapungufu makubwa ya kifikra. Kikwete ndiye Richmond na Richmond ndiyo Kikwete na hao wote wanatajwa kuhusiana na Richmond/dowans ni mabangusilo tu. huo ndio ukweli.

Kikwete alimfahamu Mohamed Gire tangu zamani sana na mwaka 2006 alipotembelea Marekani alikutana naye na hapo ndio mpango wa Richmond uliposukwa. Hao Symbion ni makanyabwoya tu, wameombwa kununua hiyo mitambo na serikali ya Tanzania katika mbinu ya kufunika kombe mwanaharamu apite. Symbion wanatumiwa tu kuupulizia manukato uharo wa mafisadi.

Huyo bosi wa Symbion kwenda Ikulu kakaribishwa tu wala hakuwa na mpango wa kumtembelea Kikkwete. Wamarekani wanajua na wanaheshimu sana protocol na si rahisi kwa wafanya biashara wadogo kama hao (wanaotegemewa kuzalisha eti MW 120 tu) waonane na Raisi wa nchi tena Ikulu. Wewe Faiza mtetee tu kwani usipomtetea wewe atampata wapi rahisi kama wewe ?

Maandishi yako yanaonyesha kuwa hamko wengi, ni yule yule ama wale wale hata hivyo kazi mnayo, duh. Utajibu mpaka vidole vitauma lakini humpati mtu hapa labda madondocha saizi yako. Kikwete hata akifanya nini kuna siku atajibu tu na akifa kabla ya wakati huo mwanae atajibu na yeye akiondoka mjukuu wake atajibu. Hawezi kupona, hio ni ndoto.
 
Symbion Power

DAR ES SALAAM, Tanzania, May 30, 2011

/PRNewswire/ -- Responding to recent press reports, Washington based power company Symbion Power has confirmed that they have indeed signed an agreement to acquire a 120 MW power plant in Tanzania.
Alongside current options for the equipment internationally, Symbion intends to submit a bid proposal to Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO). The plant has recently been tested by independent engineers and has been confirmed to be in excellent running order and able to produce power at short notice.

Symbion has joined forces with ProEnergy Services, a U.S. based multi-national integrated service provider to the energy sector, who operate and maintain power plants on a global basis. ProEnergy Services has extensive aero-derivative gas turbine operation and maintenance experience, and will act as Symbion's Technical Services Partner.

In Tanzania, Symbion Power already has extensive electrification contracts that are funded by the U.S. Government through the Millennium Challenge Corporation, as well as the Tanzanian Rural Electrification Agency and TANESCO. Symbion's work encompasses the construction of 3000km of overhead power lines and 26 substations across 8 regions in Tanzania and Zanzibar.

Paul Hinks, Chief Executive Officer, Symbion Power said, "the negotiations with the former owner have been challenging and, as a consequence of past reports, we have undertaken extensive due diligence. This due diligence also encompassed the thorough examination and testing of the equipment to ensure that it is in excellent condition. The results have been positive; the plant has been very well maintained."

Hinks went on to say, "it gives me great pleasure to be able to move to the next phase which is to offer electricity to TANESCO and to the people of Tanzania at a time when load shedding and disruption to consumers is worsening. The 120 MW that this plant can deliver would have a significant impact on the power situation in Tanzania." Hinks continued, "We want to keep the plant in Tanzania, but if TANESCO does not wish to utilize our services, we have other opportunities for its use overseas. This is a mobile plant that can be moved easily.

Chairman, Symbion Power Africa, Ambassador (ret.) Joseph Wilson said, "the Symbion Ubungo power plant has been sitting idle for almost three years while this country has faced and continues to face extraordinary challenges as a result of a shortage of power generation capacity. On behalf of the Board of Directors of Symbion Power and all our staff in Tanzania and elsewhere, I am proud to say that the plant can now be revived and I am hopeful that the Government of Tanzania will be interested in engaging our services."

Symbion Power is an American company that specializes in developing complex turnkey electric power infrastructure systems, including transmission lines, substations and switchyards and thermal power plants, in regions of the world where conflict and instability are major impediments to progress. The company is headquartered in Washington, D.C., and has offices in several other countries www.symbion-power.com.
SOURCE Symbion Power

GO9G3239.jpg

The President welcomes CEO of the Symbion Power Company Mr. Paul Hinks

GO9G3263.jpg

Jamani mnaweza tuambia kuwa huyu mmarekani ana asili ya nchi gani?
 
Back
Top Bottom