Hii kampuni imeonyesha biashara na tender zinavyotakiwa kufanyika.
1. Wamesema bei walionunulia mitambo
2. Wamesema bei ya umeme watakayoiuzia Tanesco. Marekani hapa wastani wa bei ya umeme kwa Kwh tunalipa USD 12 Cents na hawa jamaa wamesema rate ni USD 4.99 Cents kwa gas na 6.5 Cents kwa Jet fuel.
3. Wameongea na waandishi wa habari na kujibu maswali
Huu ni utaratibu mzuri kwani hii inawasaidia wenyewe kuwa wazi, inasaidia wananchi kuelewa ni nini kinachoendelea na inasaidia serikali kuwa wazi na kukosolewa pale wakikosea na sio mpaka tatizo liwe kubwa.Mfano kama rate zingekua juu na wananchi wangekuja juu hivyo uwazi ni muhimu.
Mimi kwa mawazo yangu jamii yetu ya Tanzania tuna tabia ya siri na siri nyingi si za msingi. Hata wazazi wana siri za kuficha familia za nje au hata miradi mbalimbali kama viwanja na biashara. Hivyo mimi navyoona sio kila kitu ni rushwa lakini wakati mwingine ni tabia tulio nayo ya usiri. Hii tabia sio nzuri kwa serikali na hii kampuni ni mfano mzuri.