DONALD MGANGA
Member
- Mar 22, 2011
- 99
- 11
Mtanzania hatishiki na hilo swala la Udini kaka. DINI ni yako na mungu wako watanzania sasa hivi ni welefu hichi kitu kinaitwa dini hawakipi muda wa kupoteza.
Mtanzania hatishiki na hilo swala la Udini kaka. DINI ni yako na mungu wako watanzania sasa hivi ni welefu hichi kitu kinaitwa dini hawakipi muda wa kupoteza.
mafisadi hawakomi mpaka watumalize makalio yetu
Kampuni ya Kimarekani ya Symbion iliyonunua Dowans itaanza kuuza umeme Tanesco kuanzia kesho Jumanne.
Symbion itaanza kwa kuiuzia Tanesco umeme wa majaribio wenye megawati 120 wakati majadiliano juu ya makubaliono kamili ya manunuzi ya umeme yakiendelea. Hayo yamedhibitshwa na afisa mmoja wa Tanesco aliyeongea na Fox News leo. Msemaji wa Symbion bado hajapatikana kudhibitisha haya.
Habari na Fox News.
Tender iliyompa Symbion ushindi ilitangwa lini? na wakati inatangwa Symbion walikuwa na uwezo wa kuzalisha umeme kwa maana ya kuwa na mitambo? Mapitio yangu ya Website ya Symbion yanaonyesha kuwa hii ni Symbion ni Contractor wa kujenga miundo mbinu ya kusafirishia umeme (High way lines) na siyo wazalishaji wa umeme
Yaani hayo mambo ya umeme bongo kila siku kuns mpya! Enywayz watanzania ndiyo stahili yao hiyo.You are just right TANESCO hawawezi kununua umeme kutoka Si mbioni bila kufloat tender, hiyo ni procurement na iko subject to the public procurement Act, tanesco wasijifanye mahayawani au mbumbumbu.
Duh ama kweli Tanzania . Yaani utadhani Nchi haina wasomi na wana uchungu Nchi .
Mfumo kristo huo, ukiongozwa na kuratibiwa na Mlutheran Jakaya Kikwete (MKWELLE ).mafisadi hawakomi mpaka watumalize makalio yetu
Tender iliyompa Symbion ushindi ilitangwa lini? na wakati inatangwa Symbion walikuwa na uwezo wa kuzalisha umeme kwa maana ya kuwa na mitambo? Mapitio yangu ya Website ya Symbion yanaonyesha kuwa hii ni Symbion ni Contractor wa kujenga miundo mbinu ya kusafirishia umeme (High way lines) na siyo wazalishaji wa umeme
mafisadi hawakomi mpaka watumalize makalio yetu
Naona makosa yanaanza kujirudia tena zaidi ya yale ya Richmond maana kwa Symbion, hawajashindanishwa kupata hii tenda kama kanuni za manunuzi zinavyosema.
Hata hivyo sishangai kwani huu ni muendelezo wa Sinema na Richmond. Sijui ni lini itaisha. Vigogo wanadhani sisi ni Mazuzu kumbe wanajidanganya bure.
SYMBION = DOWANS = RICHMOND = LOWASSA, ROSTAM & KIKWETE
Source: My Thinking.