Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 187
Una maanisha Slaa wa PhD ya kanoni bila degree hata moja? au yupi?
Unatype kwa spidi kuliko unavyofikiri. Nahisi utakuwa mtoto wa nje wa Makamba
Una maanisha Slaa wa PhD ya kanoni bila degree hata moja? au yupi?
MY VIEW
MCA should be used to improve healthcare in Tanzania,cos we are really behind in this sector.
Ndugu zangu mimi ni lazima nieleze hata mimi nilikuwa na hasira za mikataba ya umeme lakini kuendeleza hasira hazitasaidia kujenga nchi yetu.
Kuhusu gas na jet fuel: Machine zinaweza kutumia Jet fuel au gas asilia na gas asilia ni bei rahisi kuliko jet fuel na ndiyo maana bei ni tofauti. Wametoa rate zote kwasababu kuna wakati songas wanakuwa na matatizo ya kuleta gas hivyo watatumia jet fuel-mafuta ya ndege kwa kuendesha hizo machine.
Kuhusu gharama mimi nimesema mteja kama wewe na mimi kwa hapa marekani record zinaonyesha walilipa wastani wa USD 12 Cents kwa Kwh. Mimi hapa Texas nalipa USD 10 Cents na nimesaini mkataba wa mwaka mmoja. Hivyo hiyo ni bei ya mteja na kama wananchi na sio Tanesco watalipa chini ya USD 12 Cents haitakuwa mbaya sana. Hawa jamaa wametoa rate kwasababu Tanesco wakitoa rate ya juu sana kwa watu ijulikane wazi kwamba si wenyewe waliotoa hiyo rate ya juu bali ni Tenesco. Kwa ufupi wame ji cover.
Ndugu zangu nawaomba msilewe matatizo badala yake tulewe mawazo. Tunatati mawazo ya kusaidia nchi
At the end I think while this shows a direct avoidance of the corrupt political elite (TAKUKURU calls it the "corrupt bureaucratic elite") and i believe it should be encouraged. Wale wanaofikiria kuwa kwa kufanya hivi tunatishia uhuru wetu wanashindwa kutambua mara moja chini ya hawa corrupt ruling elite uhuru wetu tayari umeshawekwa matatani.
Ndugu zangu mimi ni lazima nieleze hata mimi nilikuwa na hasira za mikataba ya umeme lakini kuendeleza hasira hazitasaidia kujenga nchi yetu.
Kuhusu gas na jet fuel: Machine zinaweza kutumia Jet fuel au gas asilia na gas asilia ni bei rahisi kuliko jet fuel na ndiyo maana bei ni tofauti. Wametoa rate zote kwasababu kuna wakati songas wanakuwa na matatizo ya kuleta gas hivyo watatumia jet fuel-mafuta ya ndege kwa kuendesha hizo machine.
Kuhusu gharama mimi nimesema mteja kama wewe na mimi kwa hapa marekani record zinaonyesha walilipa wastani wa USD 12 Cents kwa Kwh. Mimi hapa Texas nalipa USD 10 Cents na nimesaini mkataba wa mwaka mmoja. Hivyo hiyo ni bei ya mteja na kama wananchi na sio Tanesco watalipa chini ya USD 12 Cents haitakuwa mbaya sana. Hawa jamaa wametoa rate kwasababu Tanesco wakitoa rate ya juu sana kwa watu ijulikane wazi kwamba si wenyewe waliotoa hiyo rate ya juu bali ni Tenesco. Kwa ufupi wame ji cover.
Ndugu zangu nawaomba msilewe matatizo badala yake tulewe mawazo. Tunatati mawazo ya kusaidia nchi
Mwanakijiji,tatizo sio misaada au sera za misaada.Tatizo ni kutumia misaada kuwekeza kwenye miradi ambayo haitasaidia taifa.Hatuwezi kuwalaumu. Kama tungekuwa tunataka kweli iwe ni misaada ya kutunufaisha na sisi watawala wetu wangesema mapema kwenye masharti kuwa kwa kila dola moja inayopelekwa Marekani dola nyingine moja ibakie Tanzania. Lakini hatuna sera ya misaada ya kigeni Tanzania hivyo tunakuwa katika huruma ya wale wanaotoa misaada na hatuwezi kuwalaumu. Kwa wananchi wa kawaida kwa kweli hiyo haiwajalishi maana kama serikali yao imeshindwa kutatua tatizo la nishati na Wamarekani kwa kutumia fedha zao, na makampuni yao wanakuja kusaidia why not?
we kweli foxUna maanisha Slaa wa PhD ya kanoni bila degree hata moja? au yupi?
Pia atusaidie na hili, kwa nini wasije na mitambo mipya wananunua mitambo chakavu ya DowansMkuu naona utusaidie kitu ambacho labda kinaweza kuonekana ni kidogo sana. Ututajie wamiliki wa Symbion na utuwekee CV zao. Na pia utueleze walianzaje mchakato wa kununua mitambo ya Dowans. Nani kawauzia na kwa bei gani!!
Mwenzio naogopa kuwa agent of the devil..Ukinisaidia hayo nitaku-join!