Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 922
- 996
Geography
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka balaaHakuna uzur wowote
Inakua km mnaish kwenye kijij
Ukikwanyua dem kila mtu anajua huwez hata kudabo
Tanzania sio Ikulu wala bungeni, sio masikini wa mwisho wala tajiri wa kwanza ni mamipira tu.Kuzungumza mpira huonekana na wanaoenda Uwanjani, Tanzania hatuendi Uwanjani kuangalia mpira, ingia hapo Ulaya uone maajabu
Hongera kwa kupata nafas ya kucheka [emoji41][emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka balaa
True[emoji4]Inaonekana hujawah ishi mikoan pembenpemben huko
Kuna eneo mnaish mnajikuta wote mnafahamiana hata km si kwa majina lkn mtu akikuona tu anajua wew ni wa wap sasa akiingia mgen fasta tu anajulikana kuwa yey si wa pale
Hivyo vimiguu kwenye hiyo avatar ni ya kwako[emoji4]
Neno "USIKU" chanzo chake nin?Mungu fundi kwa kweli jiji la stocklohom uswedish jua huzama majira ya saa nne usiku kwa msimu huu.
Maisha yanakuwa si ya kawaida watu wanatembea kama hawatembei. Watu wanalala kama hawalali.
Usipoangalia majira unaweza ukalala muda wa kuamka.
Nchi za ulaya zimebarikiwa sana.
Alafu haya mambo ya mampira mbona kama bongo yamezidi, hivi kuna taifa linazungumza mamipira kiasi hichi duniani kama Tz?
Alafu sasa hatuna lolote si Chan wala CECAFA tunayoiweza ni mapumbavu pumbavu tu ya mwisho
Kuzaliwa Tz uwaki sana
Hakika, mnaweza kuboresha maisha mkaishi kwa raha mustarehe kwa mpangilio unaoeleweka bila makelele na vurugu.
Ni kama vile hakuna mambo mengine muhimu ya kuzungumzia, poor us.Ukisikiliza redio ndo utashangaa
Vipindi vya michezo kila wakati kwa siku karibia mara 4 kuna kipindi cha michezo katika kila redio na wachambuzi uchwara
Kwa sababu ni kijijini, mjini hata mkiwa watano mji mzima hakuna anayefuatilia maisha ya wengine au kujua wanafanya nini.Inaonekana hujawah ishi mikoan pembenpemben huko
Kuna eneo mnaish mnajikuta wote mnafahamiana hata km si kwa majina lkn mtu akikuona tu anajua wew ni wa wap sasa akiingia mgen fasta tu anajulikana kuwa yey si wa pale
Usipoangalia majira unaweza ukalala muda wa kuamka.
=Mungu fundi
Kitendo cha kuwa wachache lazima mfatilianeKwa sababu ni kijijini, mjini hata mkiwa watano mji mzima hakuna anayefuatilia maisha ya wengine au kujua wanafanya nini.
Huko Sweden, Finland na Denmark wako wachache na hawafuatiliani. Ni mwiko na nje ya utamaduni wao kufuatiliana, huko unawez kufia hata ndani ya nyumba yako na ukakaa miezi bila majirani kujua kuna mtu alishakata moto ndani muda mrefu sana.Kitendo cha kuwa wachache lazima mfatiliane
Waswahili tukifika huko lazima tudumishe utamadunHuko Sweden, Finland na Denmark wako wachache na hawafuatiliani. Ni mwiko na nje ya utamaduni wao kufuatiliana, huko unawez kufia hata ndani ya nyumba yako na ukaa miezi bila majirani kujua kuna mtu alishakata moto ndani muda mrefu sana.
Ndio haohao! Sasa sijui kama wamebarikiwa au wamelaaniwa!?Hawa sindio wameanzisha mashindano ya ngono...
Ni summer time ni kawaida,haujasoma Geography darasa la tano?Mambo ya season na dunia inavyolizunguka jua?Mungu fundi kwa kweli jiji la stocklohom uswedish jua huzama majira ya saa nne usiku kwa msimu huu.
Maisha yanakuwa si ya kawaida watu wanatembea kama hawatembei. Watu wanalala kama hawalali.
Usipoangalia majira unaweza ukalala muda wa kuamka.
Nchi za ulaya zimebarikiwa sana.