fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,929
- 24,629
Nadhani Kuna wadau washaelezea hivi nilivyovimention hapo juu. Pitia pitia ujifunze mkuuTusiosoma geography tupo wengi
Binafs mtoa mada nilimuona km analeta porojo
Ila michango ya nyinyi wasom walau imenipa shauku ya kutaka kujua zaid